BabaMorgan
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 4,869
- 13,137
Prof. Janabi kila wakati anasisitiza juu ya mtindo bora wa maisha ili kuepukana na magonjwa yasiyoambukizwa ila watu tunachukulia poa.
Nina experience ya kuomba michango ya matibabu kwa ndugu, jamaa na marafiki ni miongoni mwa experience mbaya kuwahi kukutana nayo so far ni kero kwa muomba mchango na kwa mtoaji mchango.
Hakuna aijuaye kesho but kesho njema au mbaya ni matokeo ya leo.