Kuomba mkopo na Chuo JKT inakuaje?

Kuomba mkopo na Chuo JKT inakuaje?

mkuu vitu vp vinahusik katika kuapply chuo
Kuomba chuo hawataki document yoyote tofauti na taarifa zako kama vile tarehe ya kuzaliwa na vitu vidogo vidogo kama hivyo. Kwahyo usiwe na hofu kuhusu kuomba chuo huko jkt
 
Mkuu , ulikuwa kambi ipi na je waliitoa facilities zipi ili kukuwezesha kuchagua vyuo?
Me nilienda kambi inaitwa milundikwa kj 847.huko watu wengi wa vyuo walikuja zaidi hata ya vyuo 50 walikuja kuwafanyia application za bure pia hiyo kambi ilikua inatupa muda wa kufanya application na pia walitoa computer nyingi tu na wataalam wakawa wanatufanyia hivyo vitu bure
 
Samahan Wana jf nimechaguliwa jkt mujibu wa sheria 2022 .msaada kuhusu kuapply mkopo na chuo ukiwa JKT
we mwachie mtu wako wa karbu akusaide usisahau paspot afatilie me ndo nilifanya hivyo na nkafanikiwa kikubwa unae mwachia awe mfatiliaji kweli
 
Me nilienda kambi inaitwa milundikwa kj 847.huko watu wengi wa vyuo walikuja zaidi hata ya vyuo 50 walikuja kuwafanyia application za bure pia hiyo kambi ilikua inatupa muda wa kufanya application na pia walitoa computer nyingi tu na wataalam wakawa wanatufanyia hivyo vitu bure
Ingefurahisha kama kambi zote zingekuwa hivyo.
 
Nyingi ziko hivyo saivi wanawajali mujibu w Sheria kasolo kanembwa ila kwenye mambo ya mkop na chuo Huwa wanawajali

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom