Kuomba chuo hawataki document yoyote tofauti na taarifa zako kama vile tarehe ya kuzaliwa na vitu vidogo vidogo kama hivyo. Kwahyo usiwe na hofu kuhusu kuomba chuo huko jktmkuu vitu vp vinahusik katika kuapply chuo
Me nilienda kambi inaitwa milundikwa kj 847.huko watu wengi wa vyuo walikuja zaidi hata ya vyuo 50 walikuja kuwafanyia application za bure pia hiyo kambi ilikua inatupa muda wa kufanya application na pia walitoa computer nyingi tu na wataalam wakawa wanatufanyia hivyo vitu bureMkuu , ulikuwa kambi ipi na je waliitoa facilities zipi ili kukuwezesha kuchagua vyuo?
Kwenye swala la mkopo siwezi kujua maana me mwenyewe nilifanyiwa na hata sikutaka kufuatilia ilikuaje ila ni simple usiwe na hofuMkuu ni documents zipi zinatakiwa wakati wa kuomba mkopo?
we mwachie mtu wako wa karbu akusaide usisahau paspot afatilie me ndo nilifanya hivyo na nkafanikiwa kikubwa unae mwachia awe mfatiliaji kweliSamahan Wana jf nimechaguliwa jkt mujibu wa sheria 2022 .msaada kuhusu kuapply mkopo na chuo ukiwa JKT
Ingefurahisha kama kambi zote zingekuwa hivyo.Me nilienda kambi inaitwa milundikwa kj 847.huko watu wengi wa vyuo walikuja zaidi hata ya vyuo 50 walikuja kuwafanyia application za bure pia hiyo kambi ilikua inatupa muda wa kufanya application na pia walitoa computer nyingi tu na wataalam wakawa wanatufanyia hivyo vitu bure