Yericko Nyerere
JF-Expert Member
- Dec 22, 2010
- 17,005
- 20,425
Kwanza niseme RUSHWA kama neno lilivyo ni KOSA pale linapotawala jamii fulani
Lakini kwa mantiki ya KUOMBA na KUPOKEA SIO kosa hata kama ulichoomba ni rushwa, kifo au Sumu!
Bado wahusika hawatakuwa na kosa kwamaana ya KUOMBA na KUPOKEA,
Sikubaliani na dhana itumikayo Tanzania ya kusema "Amekamatwa/Wamekamatwa kwatuhuma za kuomba na kupokea rushwa"
Kwa kurejea hebu tuyaangalie maandiko matakatifu yasemavyo, Kwakuanza, Kuruani inasisitiza Kuwa kuomba ni wajibu wa yeyote ataftae na kupewa ni HAKI ya AOMBAE!
Vivyo hivyo andiko la kikristu lililopo katika Biblia linabariki kwa weledi uleule juu ya HAKI ya kuomba na HAKI ya kupewa!
Dhana dharimu na sahihi katika muktadha huu ni KUDAI na KUCHUKUA rushwa! Sio KUOMBA na KUPOKEA rushwa!
Naruhusu kukosolewa/kushauriwa, kuongeza nk!