Kuomba na Kupokea rushwa SIO Kosa!

Kuomba na Kupokea rushwa SIO Kosa!

Yericko Nyerere

JF-Expert Member
Joined
Dec 22, 2010
Posts
17,005
Reaction score
20,425
Kwanza niseme RUSHWA kama neno lilivyo ni KOSA pale linapotawala jamii fulani

Lakini kwa mantiki ya KUOMBA na KUPOKEA SIO kosa hata kama ulichoomba ni rushwa, kifo au Sumu!

Bado wahusika hawatakuwa na kosa kwamaana ya KUOMBA na KUPOKEA,

Sikubaliani na dhana itumikayo Tanzania ya kusema "Amekamatwa/Wamekamatwa kwatuhuma za kuomba na kupokea rushwa"

Kwa kurejea hebu tuyaangalie maandiko matakatifu yasemavyo, Kwakuanza, Kuruani inasisitiza Kuwa kuomba ni wajibu wa yeyote ataftae na kupewa ni HAKI ya AOMBAE!

Vivyo hivyo andiko la kikristu lililopo katika Biblia linabariki kwa weledi uleule juu ya HAKI ya kuomba na HAKI ya kupewa!

Dhana dharimu na sahihi katika muktadha huu ni KUDAI na KUCHUKUA rushwa! Sio KUOMBA na KUPOKEA rushwa!

Naruhusu kukosolewa/kushauriwa, kuongeza nk!
 
Mkuu wewe kama kuchukua rushwa ni mchezo wako, usitumie vitabu vya dini kuhalalisha. Kwanza kuna mambo ya dini na sheria za nchi na jamii.

Kutoa, kupokea, kula, kuomba rushwa ni kosa la kuvunja sheria ya nchi. Inawezekana katika imani yako sio sahihi, lakini sheria za nchi zimekataza.

Na kama unaona sio kosa basi nakuomba ufanye adharani bila kujifisha hili waislamu wanaotumia Korani na wakristu wanaotumia Biblia wakuone. Sijuhi kama utarudi nyumbani mzima.
 
Mimi nimesema maana ya kuomba na kupokea Rushwa sio KOSA,

Lakini RUSHWA ni KOSA, lakini mtu anaeomba rushwa hana kosa ila anaedai rushwa ndie mwenye kosa!
 
Unataka kusema kuwa kuzini ni kosa. Lakini aliyeomba kufanya zinaa hana kosa.
 
Ndio, kuzini ni kosa, lakini kama wahusika wamekubaliana sio KOSA,

Kubaka ni kosa, lakini kama mbakaji amemuomba mbakwaji na akakubaliwa hapo kosa linafutika!
 
Umiza kichwa ndugu!
KUOMBA ni kitendo ambacho kinaweza kuwa halali au batili, unapoomba baya hata kama hujapata ni kosa, na unapoomba jema hata kama hujapata si kosa!
Mafundisho ya wapi yanayosema uombe chochote? Kama biblia itakuambia uombe kwa Mungu hali kadhali kwa qu'ran. Utuambie labda wapi Mungu yupi aliyesema kwake yanapatikana mabaya tuyaombe?
Wayahudi walipogeukia miungu ya uongo na kuiomba msaada, japo hawakupata walichoomba lakini Mungu wao aliwaadhibu kwakuwa ni KOSA kuomba lisilojema, ama sehemu isiyostahili. Ni sawa kwa mtoto kuomba kulala na mama yake ama na baba yake! Sasa kwa tafsiri yako labda utuambie RUSHWA ni jambo jema au baya? Kisha pima hoja yako, critically!
Usishupaze misuli, tings are widely open!
Mungu wetu anaita sasa!
 
Mkuu umeisoma na kuelewa hoja yangu kuu hapo?
 
KUDAI na KUOMBA, ndio ulikoegemea wewe! Tena kwa misingi ya maandiko! Ndiko nilikotaka nawe urejee huko!
Unachodai wewe kunamakosa ya kimantiki katika kauli ya Kuomba Rushwa, lakini kimaandiko si kikatiba! Unataka iwe KUDAI RUSHWA!
Nachosema mimi Kudai au Kuomba Rushwa ni kitu kimoja kimaandiko!
KUDAI kama neno tu, laweza kuwa kosa ama laa. Vivyo hvyo KUOMBA kama neno tu, laweza kuwa kosa ama laa! Ubatili ama uhalali wa maneno hayo hutegemeana na jambo husika, jema au baya?
Usidanganyike na NENO haki, HAKI yako ya kwanza ni KUTIMIZA WAJIBU WAKO kimaandiko! Vinginevyo ni KOSA! Jiulize mwenyewe kisha ujijibu, kuomba rushwa ni jambo linalokufanya utangulize wajibu wako kwanza? Kama laa, basi Kuomba Rushwa ni KOSA kwani linakufanya haki yako ya msingi ya kutimiza wajibu wako.
Na si kila neno KUDAI linapotumika basi ni kosa, kila mtu ana wajibu wa KUDAI haki yake! Ulitaka tuseme NINAOMBA HAKI YANGU MAHAKAMANI? NINADAI HAKI YANGU!
Ili usijichanganye zaidi, kumbuka kuna UFASAHA na USANIFU wa LUGHA!
Mungu wetu anaita sasa!
 
Mkuu wewe kama kuchukua rushwa ni mchezo wako, usitumie vitabu vya dini kuhalalisha. Kwanza kuna mambo ya dini na sheria za nchi na jamii.

Kutoa, kupokea, kula, kuomba rushwa ni kosa la kuvunja sheria ya nchi. Inawezekana katika imani yako sio sahihi, lakini sheria za nchi zimekataza.

Na kama unaona sio kosa basi nakuomba ufanye adharani bila kujifisha hili waislamu wanaotumia Korani na wakristu wanaotumia Biblia wakuone. Sijuhi kama utarudi nyumbani mzima.

Hata dini zinakataza kupokea /kutoa rushwa kwa vile inapindisha HAKI!
Refer Biblia:
Deuteronomy 16:19
Do not pervert justice or show partiality. Do not accept a bribe, for a bribe blinds the eyes of the wise and twists the words of the innocent.
Deuteronomy 16:18-20 (in Context)
 
KUDAI na KUOMBA, ndio ulikoegemea wewe! Tena kwa misingi ya maandiko! Ndiko nilikotaka nawe urejee huko!
Unachodai wewe kunamakosa ya kimantiki katika kauli ya Kuomba Rushwa, lakini kimaandiko si kikatiba! Unataka iwe KUDAI RUSHWA!
Nachosema mimi Kudai au Kuomba Rushwa ni kitu kimoja kimaandiko!
KUDAI kama neno tu, laweza kuwa kosa ama laa. Vivyo hvyo KUOMBA kama neno tu, laweza kuwa kosa ama laa! Ubatili ama uhalali wa maneno hayo hutegemeana na jambo husika, jema au baya?
Usidanganyike na NENO haki, HAKI yako ya kwanza ni KUTIMIZA WAJIBU WAKO kimaandiko! Vinginevyo ni KOSA! Jiulize mwenyewe kisha ujijibu, kuomba rushwa ni jambo linalokufanya utangulize wajibu wako kwanza? Kama laa, basi Kuomba Rushwa ni KOSA kwani linakufanya haki yako ya msingi ya kutimiza wajibu wako.
Na si kila neno KUDAI linapotumika basi ni kosa, kila mtu ana wajibu wa KUDAI haki yake! Ulitaka tuseme NINAOMBA HAKI YANGU MAHAKAMANI? NINADAI HAKI YANGU!
Ili usijichanganye zaidi, kumbuka kuna UFASAHA na USANIFU wa LUGHA!
Mungu wetu anaita sasa!

Umefafanua vizuri, lakini bado dhana ya kuomba inabaki kuwa ni haki ya msingi ya binadamu yeyte haijalishi anaomba nini,

Na kupokea ni haki ya muombaji pia,

Dhana hapa vitabu vya sheria na katiba yetu ibadilishwe neno hili liwe KUDAI na KUCHUKU rushwa kama weli tunataka kiswahili chetu kiwe ndio lugha ya taifa na shughuli zote za serikali!
 
Mkuu kama ni hivyo mkuu, hukutakiwa kujenga hoja yako kupitia MAANDIKO! Kwa maana huko HAKI ya Kuomba haipati mtu hadi awe ametimiza wajibu wake!
Sasa kama MAANDIKO hayafai kutetea hoja yako, basi ni wajibu wako sasa kutuambia kwanini tendo la KUOMBA si KOSA! Kumbuka hiki ni KITENZI tu kama KUJENGA, leo ukisema NINAJENGA danguro ni KOSA utashtakiwa, lakini mwingine akisema NINAJENGA nyumba ya kuishi SI KOSA, ataachwa tu!
Kama kipindi cha utoto, "mama naomba hela" ni fimbo tu kwa mtoto! Ni KOSA kwa mtoto kuombaomba hela!
Kama unachodai kinaweza kukuza kiswahili, basi utuambie itakuzaje KISARUFI na KIMSAMIATI!

Haahaaaha daaah nimecheka sana,

Sasa turejee katika mjadala uliopo mbele yetu,

Kwanza naomba tufahamu KUOMBA maana yake nini? Na KUPOKEA maana yake nini?

Kisha tuchanganye katikati neno RUSHWA

Halafu jenga tafakuri murua kwa sentensi yote

Kisha tufafanue neno KUDAI na KUCHUKUA

Na sasa tuchanganye katikati neno RUSHWA

Sasa kwapamoja tuangalie ipi ni sentensi stahiki ya kusimama kwenye vita dhidi ya RUSHWA?
 
Kosa si kusema wanatuhumiwa kwa kupokea au kutoa rushwa. There is presumption of innocence till proved otherwise by the court of law. Hivyo kosa bado lipo ila kinachotakiwa ni mahakama kuamua na si mtu au taasisi nyingine nje ya mahakama kuamua. That simpo.
 
Ndio, kuzini ni kosa, lakini kama wahusika wamekubaliana sio KOSA,

Kubaka ni kosa, lakini kama mbakaji amemuomba mbakwaji na akakubaliwa hapo kosa linafutika!

Kwa hiyo ili kuzini liwe kosa inabidi iweje???mtu abakwe au??kuzini ni kosa kwa namna yeyote ile,iwe mmekubaliana au mmelazimishana.
 
Kuzini maana yake nini?

Kubaka maana yake nni?

Ukijua hayo utaona tofauti na utakubaliana na hoja yangu!
 
Back
Top Bottom