She is Aisha
Member
- Jun 1, 2024
- 6
- 5
Habari za wakati huu ,
Naitwa Aisha Jumaa Saidi, ni mwanafunzi wa mwaka wa pili nikisoma Shipping and Ports Operations Management katika chuo cha (Bandari College).
Natafuta nafasi ya field attachment/internship kuanzia (August hii 2025) katika kampuni, taasisi au bandari yoyote inayojihusisha na shughuli za meli, mizigo, logistics, freight forwarding au shughuli zinazohusiana na bandari.
Nina moyo wa kujifunza, kuwajibika, na kufuata maelekezo. Nipo tayari kufanya kazi kwa bidii bila malipo kwa kipindi chote cha field. Nategemea kupata uzoefu utakaoimarisha taaluma yangu na kuniandaa vyema kwa soko la ajira.
Kwa yeyote mwenye msaada au anayefahamu taasisi inayoweza kutoa nafasi, naomba anitaarifu kupitia:
📞 0766 135 399
📧 [email protected]
Nawashukuru sana kwa kunisoma. Mungu awabariki 🙏