kante mp2025
JF-Expert Member
- Nov 11, 2022
- 631
- 1,192
Kama heading inavojieleza hapo juu mimi ni mtaalamu wa maabara, mwenye stashahada nilijaribu kurusha ndoana kwenye ajira za utumishi nikala ndoige ya kichwa kwa kupigwa NOT SELECTED
Sasa nimeona wanazengo wengi wakilamba asali kwenye pdf hizi za serikali hasa upande wa kada yangu ya maabara na nina amini wengine walikuwa wanafanya kazi sehemu hivyo wakiondoka nafasi hizo zitahitaji replacement.
Kwa unyenyekevu mkubwa nakuja mbele yenu mliolamba ajira za serikali mnapoondoka huko mlipo basi nafasi yenu niichukue naahidi kutoa mshahara wangu wote wa kwanza kama kuwashukuru.
Napatikana Dodoma mawasiliano yangu ni 0625263010 nipo tayari kufanya kazi popote Tanzania maslahi yaanzie atleast 400k ninayo leseni full na iko active to practise.
Natanguliza shukrani wakuu.