salmajumanne
Member
- Sep 19, 2019
- 20
- 13
- Thread starter
-
- #41
Id yako ya zaman n ipi
Hasikutishe jisikie huru kabisa jamiiforums
Jamiiforums ni jamii yenye watu wakarimu sana.
Hahahah....togwa lishaingia nzi
joanah we utakuwa wa kishua...misemo ya sisi watu wa kwa mama zakaria au bibi manyau nyau...
maana yake nzi kaingia kwenye ugimbi, hivyo haunyweki tena ni wa kumwaga
Sasa ndugu, bila picha yako na kanamba ka simu mbona haiwi mambo? Hebu "rekebua" hayo mawili tu.Mimi Salma Jumanne naomba kujiunga na JF kwa ajili ya kuelimika na kujifunza.
View attachment 1242314
Sio wa kishua ila hiyo misemo huwa siijui kweli,hata maana uliyotoa tena nimeshindwa kuelewa....nzi kaingia kwenye ugimbi!!ugimbi ni kitu gani?
(drop some more qns if it's still aint clear)
Nimeelewa maelezo yako vizuri
Kwa hiyo togwa kuingiwa nzi inahusiana vipi na comment yangu ya mwanzo kabisa?
financial servicesNa namba umetuwekea mama.
Karibu pm pia.
Ila ina imekupendeza salma mkuu
Unaniharibia ujue. Kwani ukikaa kimya unakosa nini?Nampa pole in advance huyo mjukuu atakayeolewa na wewe
Geuka tusome plate numberMimi Salma Jumanne naomba kujiunga na JF kwa ajili ya kuelimika na kujifunza.
View attachment 1242314
Unaniharibia ujue. Kwani ukikaa kimya unakosa nini?
Hizo nywele ng'ombe kazilamba au ndo zilivyo