Kuomba uanachama JF

Kuomba uanachama JF

Togwa kuingia nzi ndiyo kufanyaje?

joanah we utakuwa wa kishua...misemo ya sisi watu wa kwa mama zakaria au bibi manyau nyau...

maana yake nzi kaingia kwenye ugimbi, hivyo haunyweki tena ni wa kumwaga
 
joanah we utakuwa wa kishua...misemo ya sisi watu wa kwa mama zakaria au bibi manyau nyau...

maana yake nzi kaingia kwenye ugimbi, hivyo haunyweki tena ni wa kumwaga

Sio wa kishua ila hiyo misemo huwa siijui kweli,hata maana uliyotoa tena nimeshindwa kuelewa....nzi kaingia kwenye ugimbi!!ugimbi ni kitu gani?
 
Sio wa kishua ila hiyo misemo huwa siijui kweli,hata maana uliyotoa tena nimeshindwa kuelewa....nzi kaingia kwenye ugimbi!!ugimbi ni kitu gani?

Ugimbi - Local beer (Pombe ya kienyeji yoyote)
Togwa - Type of local beer (mataputapu) made out of "mahindi", "mtama" e.t.c

Kwa ninyi wa kishua ugimbi huwa mnaita beer or barley pop, na togwa ni aina ya beer kama ilivyo Heineken au Budweiser

Ukiwa ushagoo (kijijini), ugimbi huwa unanywewa kwa kuwekwa kwenye birauli kubwa ya plastic (some kind of a small small bucket), na mnakunywa kwa kushare in a rotation fashion (mwenge hauruki kijiji)...

Sasa sometime vile mazingira huwa ni outdoors, kinda unpleasant, unapata nzi wanaweza ingia katika ugimbi...sasa wakishaingia ni kama inakuwa spoiled na hakuna mtu atakunywa...

(drop some more qns if it's still aint clear)
 
Mi ndiyo mmiliki wa JF hao waliotangulia vijana wangu wanakuzingua tu. Sharti la msingi njoo kwenye kabahasha ka blu click ukiingia ndani utaniona

Nb. Vijana wangu wazinguaji na wacheshi hawamaanishi wanachokisema.

Ikifika saa12 hujafika utakuwa DENIED HAPA JF

Ukija kesho asubuhi unakua VERIFIED USER na baada ya kutimiza masharti mengine ntakayokupa inbox within a week unakuwa PLATINUM USER
 
ODM akija ataelewa...(again never ask me who is ODM...heheh)

Nimeelewa maelezo yako vizuri

Kwa hiyo togwa kuingiwa nzi inahusiana vipi na comment yangu ya mwanzo kabisa?
 
Back
Top Bottom