A
Anonymous
Guest
Kero yangu ni suala la uhamisho Halmashauri ya Mji Handeni limekuwa kama vita, maboss wanakalia barua za Watumishi za uhamisho kuhama imekuwa kipengele kikubwa hapo.
Ingia ESS, omba kupitia huko. Ikishindikana nenda moja kwa moja utumishi WizaraniKero yangu ni suala la uhamisho Halmashauri ya Mji Handeni limekuwa kama vita, maboss wanakalia barua za Watumishi za uhamisho kuhama imekuwa kipengele kikubwa hapo.
ESS ni nini tafadhali.Ingia ESS, omba kupitia huko. Ikishindikana nenda moja kwa moja utumishi Wizarani
Employee Self Service ni mfumo wa umma unaohusika na upimaji Watumishi na Taasisi katika suala la utendaji kazi za kila siku. Mfumo huu una vipengele mbalimbali mojawapo dirisha la uhamisho.ESS ni nini tafadhali.
kufanya kazi Halmashauri inataka moyo sana.Kero yangu ni suala la uhamisho Halmashauri ya Mji Handeni limekuwa kama vita, maboss wanakalia barua za Watumishi za uhamisho kuhama imekuwa kipengele kikubwa hapo.
Mkuu wewe ni mtumishi wa umma halafu hujui maana ya ESS 🤣ESS ni nini tafadhali.
Unajuaje kama mimi ni mtumishi wa mma. Uko less informed about less and lessMkuu wewe ni mtumishi wa umma halafu hujui maana ya ESS 🤣
Tapeli sana wewe....mnaambiwa kama wewe siyo mtumishi usioe mtumishi hamsikii ona sasa mkeo analiwa huko anakudanganya anafanyiwa figusu🤣Unajuaje kama mimi ni mtumishi wa mma. Uko less informed about less and less