Habari wajumbe,
Naomba kujuzwa kama wanaomiliki ving'amuzi vya Azam vya Antena , wanaweza kuona mechi kadhaa zinazorushwa na TBC1 za Kombe la Dunia. maana nimekuwa nikisikia taarifa zinazokinzana, kuna wale wanaosema , unaweza ukaona na wengine wanasema Azam wanablock TBC1 wakati wa mechi kwenye ving'amuzi vya dish tu na sio kwenye king'amuzi cha antena. tafadhali naomba kujuzwa ukweli ni upi.
Natanguliza shukrani