Kuona kombe la Dunia kupitia TBC1 katika king'amuzi cha Antena cha Azam

Joined
Mar 28, 2017
Posts
6
Reaction score
8
Habari wajumbe,

Naomba kujuzwa kama wanaomiliki ving'amuzi vya Azam vya Antena , wanaweza kuona mechi kadhaa zinazorushwa na TBC1 za Kombe la Dunia. maana nimekuwa nikisikia taarifa zinazokinzana, kuna wale wanaosema , unaweza ukaona na wengine wanasema Azam wanablock TBC1 wakati wa mechi kwenye ving'amuzi vya dish tu na sio kwenye king'amuzi cha antena. tafadhali naomba kujuzwa ukweli ni upi.

Natanguliza shukrani
 
uongo mtupu mi Nina Cha antenna naona vizur tu....
 
Habari wajumbe,

Naomba kujuzwa kama wanaomiliki ving'amuzi vya Azam vya Antena , wanaweza kuona mechi kadhaa zinazorushwa na TBC1 za Kombe la Dunia. maana nimekuwa nikisikia taarifa zinazokinzana, kuna wale wanaosema , unaweza ukaona na wengine wanasema Azam wanablock TBC1 wakati wa mechi kwenye ving'amuzi vya dish tu na sio kwenye king'amuzi cha antena. tafadhali naomba kujuzwa ukweli ni upi.

Natanguliza shukrani
Muulize nape anayo majibu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom