CCM inauwezo sana wa kufanya propaganda.
Baada ya kumsimika Mbowe CHADEMA sasa wametuletea Heche.
Kwa kuongea tu ni kama helo. Kwa kipindi ambacho CHADEMA ilikuwa na nafasi ya kuunganisha wafanyakazi wa sekta ya umma na bimafsi kutetea maslahi na kuunganisha wafanyakazi.
Ccm wakampeleka Lissu mahakamani. Heche akatumwa tu kuchochea mjadala ambao kimsingi hauwezi ukaja na tija kwani kuhusu Lissu Heche anajua kilakitu.
Sasa vyama vya wafanyakazi vikiwa vimefungwa mikono, moguu na Midomo. Ushirika ukiwapa vitambi Wanasiasa.
Ni CHAMA CHA SIASA makini ndicho huibuka na kuwa msingi wa kuamsha vuguvugu la mabadiliko.
Namkumbuka Jamsi Mapalala. Akiwa CW. Alipinga kodi ya kichwa, Baiskel na Makanyagio na zikatoka.
Alipinga ushirika hasa Shireku. Pamba ikawa dhahabu nyeupe. CUF chini yake ilikuwa ni chama cha wananchi.
Sasa Chadema inakuwaje kikose ajenda. Kisubiri matukio kianze kulalamika tu...
Lissu Akitoka tutajua. Heche na Mbowe ni walewale kiundani sana