Mh. Rais pole na majukumu yako ya kila siku na kubwa ni katika kuwaletea maendeleo watanzania.
Natambua kuwa kwa nyakati tofauti tofauti ukipata nafasi huwa unapitia mitandao ya kijamii na kuona au kusoma jumbe mbali mbali wanazotoa watanzania au jumbe za kukushauri na nyingine nyingi za kukukosoa.
Yes, nyingi huwa ni za kukosoa kwa sababu wapo watanzania ambao hawajajivika koti la uchawa hivyo hutoa michango yao kwa njia ya kukosoa na kusifia kwa kiasi kidogo. Ukiwa kama kiongozi bora nadhani sio mbaya ukipokea hayo yote maana waswahili walisema "Ukubwa ni jalala".
Dhima kuu ya kukuandikia ujumbe huu sio kukusifia hapana bali kutaka kukufungua macho kwa namna ambavyo wakazi wa DSM wanavyoteseka na adha ya usafiri wa mwendokasi.
Nadhani unafahamu fika kuwa lengo kuu la mradi lilikuwa kupunguza adha ya usafiri kwa wakazi wa jiji la DSM lakini matrajio hayo yamekuwa kinyume chake.
TATIZO KUBWA LA UFANISI MBOVU WA MWENDOKASI SIO MIUNDOMBINU KAMA VILE MABASI AU BARABARA, TATIZO KUBWA NI UBINAFSI NA WIZI UNAOFANYIKA KWA VIONGOZI WALIOPEWA DHAMANA KWA KUJINUFAISHA KUPITIA MRADI HUO.
Naomba utambue kuwa dhamira ni kitu kingine na utendaji ni kitu kingine. VIONGOZI unaowaamini na kuwategemea katika kisimamia mradi ndio wanaouhujumu MRADI. Naomba nipe hii kazi ya kusimamia mradi huu ili nilete mabadiliko makubwa ya usafiri wa kisasa katika jiji la Dar es salaam. Nakuhakikishia kwa 💯 hili jambo litakushangaza sana kwa namna nitakavyolifanikisha lakini wale wote ambao ndio wahujumu wa huu mradi watatafuta kazi zingine za kufanya.
Katika suala la usafiri kwa jiji la DSM hasa mwendokasi nakuhakikishia jiji la Dar es salaam litakuwa mfano wa majiji bora barani Africa na wapo watakaokuja kujifunza kupitia huu mpango mkakati ambao naamini utafanikiwa kwa asilimia 💯 japokuwa utapata upinzani wakati wa kuanza kwa wale wanaofaidika na mradi huu kwa sasa.
Wengi huwa wanapenda kukusifia kwa maslahi binafsi, mimi sipo hivyo kwa sababu kwanza sina cha kupoteza, lakini pia sina tamaa za kijinga kwa maana ya UBINAFSI kwa kuwaumiza watanzania ambao wanateseka unnecessary.
Kama hutojali unaweza ukanipa nafasi nije nikuone na nikushauri best way on how to do it kisha ikikupendeza ukatoa maelekezo kwa watendaji wako wakatumia mpango kazi huo kwa ajili ya utekelezaji wake. Lakini pia pilot study inaweza kufanyika kwa baadhi ya ruti za mwendokasi na baadae kufanyika analysis kabla ya ku-apply kwa mapana yake.
Najua ujumbe huu unaweza kuusoma mwenyewe au kufikishiwa na wasaidizi wako. Yote KHERI tu ila ukinihitaji kukushauri nitafanya hivyo.
Nakutakia kazi njema katika kuijenga nchi yetu.
ASANTE 🙏