Kuondoa lawama sasa kila mtu abaki na mali zake. Wadada mubaki na mali zenu na wakaka tubaki na mali zetu.

Maisha ni kutegemeana....ukisema kila mtu abaki na chake..ni wapi tutakwenda kupata vipochi manyoya?
 
Kwakweli tunatia huruma sio siri.. sijui sisi wanaume alituloga nani? Yaani mwanaume ukiwa na hela bila kutafuta mwanamke wa kuzila husikii raha.

Ila kuanzia sasa mimi binafsi nabadili mtazamo hela yangu haitaliwa kizembe. Na nimepanga naanza valentine hii najua kuna watu hawataamini kitakachotokea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…