Kuondoa lawama sasa kila mtu abaki na mali zake. Wadada mubaki na mali zenu na wakaka tubaki na mali zetu.

Kuondoa lawama sasa kila mtu abaki na mali zake. Wadada mubaki na mali zenu na wakaka tubaki na mali zetu.

Maisha ni kutegemeana....ukisema kila mtu abaki na chake..ni wapi tutakwenda kupata vipochi manyoya?
 
Nyie wanaume mnaweza kubaki na mali zenu sasa? Yaani mnavyotubembelezaga tutumie hela zenu hadi huruma.

Unakuta kila siku mtu anakubembeleza akutoe dinner, mara ooh unapendelea zawadi gani, mara hiyo elfu 50 nunua bando.

Unamwambia mtu hutaki ila anaendelea kukulazimisha utumie hela zake.
Kwakweli tunatia huruma sio siri.. sijui sisi wanaume alituloga nani? Yaani mwanaume ukiwa na hela bila kutafuta mwanamke wa kuzila husikii raha.

Ila kuanzia sasa mimi binafsi nabadili mtazamo hela yangu haitaliwa kizembe. Na nimepanga naanza valentine hii najua kuna watu hawataamini kitakachotokea
 
Back
Top Bottom