Chinga One
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 11,469
- 12,391
Jamani Kiukweli babu alikua fundi wa kutisha pamoja na uchelsea wangu ila namkubali sana.
sasa ndo ivyo tena Ferg kaachia ngazi tutashuhudia vichapo mfululizo kwa man u next season na uhaba wa vikombe kama arsenal miaka 9 mfululizo,na migomo baridi ya wachezaji kwa kocha MOYES,si freemason kaondoka!! haa haa haa haa.im waiting to be insulted by man u fans.
This shit is real😀😀😀 utabiri wangu ulikuwa mkubwa sanaJamani Kiukweli babu alikua fundi wa kutisha pamoja na uchelsea wangu ila namkubali sana.
sasa ndo ivyo tena Ferg kaachia ngazi tutashuhudia vichapo mfululizo kwa man u next season na uhaba wa vikombe kama arsenal miaka 9 mfululizo,na migomo baridi ya wachezaji kwa kocha MOYES,si freemason kaondoka!! haa haa haa haa.im waiting to be insulted by man u fans.
Europa ligi, Fa cupMwaka wa tano huu tangu sred hii ibandikwe....no kikombe kwa red devils
mjomba uko sayari ya ngapi?Mwaka wa tano huu tangu sred hii ibandikwe....no kikombe kwa red devils
Na Carling Cup mkuu.... Naona huyo anaota ndoto za mchanaEuropa ligi, Fa cup
Labda ubingwa epl ndo anachomaanisha..maanake FA arsenal wamebeba sanaNa Carling Cup mkuu.... Naona huyo anaota ndoto za mchana
Usichojua ni kwa kwamba club yenye makombe mengi tokea fergie ang'atuke pale O.T bado ni Man Utd ikiwa na vikombe vitano, kama ifuatavyo;Mwaka wa tano huu tangu sred hii ibandikwe....no kikombe kwa red devils
Mwaka wa tano huu tangu sred hii ibandikwe....no kikombe kwa red devils
Amesema hawajawahi kubeba kikombe...na hakuwa specific kama ni epl ama la!Labda ubingwa epl ndo anachomaanisha..maanake FA arsenal wamebeba sana
EPL wewe bwege....hivyo vikombe vya mbuzi timu kibao tu wamenyakua,shubamitUsichojua ni kwa kwamba club yenye makombe mengi tokea fergie ang'atuke pale O.T bado ni Man Utd ikiwa na vikombe vitano, kama ifuatavyo;
FA Cup (1): 2015-16
League Cup (1): 2016-17
Europa League (1): 2016-17
Community Shield (2): 2013-14, 2016-17
Achana na Man U, kuna vitu vingi sana kwenye mpira huvijui...
Sasa wewe umesemaje? Uzi wako umespecify kama ni epl...??dogo tuliza mumkari umepanic bure tu, unaanza kutukana!EPL wewe bwege....hivyo vikombe vya mbuzi timu kibao tu wamenyakua,shubamit
Hadi community shield!!?..basiwana vikombe vingi kuliko yoyote epl toka 2013-18Usichojua ni kwa kwamba club yenye makombe mengi tokea fergie ang'atuke pale O.T bado ni Man Utd ikiwa na vikombe vitano, kama ifuatavyo;
FA Cup (1): 2015-16
League Cup (1): 2016-17
Europa League (1): 2016-17
Community Shield (2): 2013-14, 2016-17
Achana na Man U, kuna vitu vingi sana kwenye mpira huvijui...
Kumbe nimetukanA? duuh ikaushie tu bosi mwezi wa toba huu!Sasa wewe umesemaje? Uzi wako umespecify kama ni epl...??dogo tuliza mumkari umepanic bure tu, unaanza kutukana!