Kuondoka kwa Ferguson: MAN U subirini vichapo na uhaba wa vikombe kama arsenal.

Chinga One

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2013
Posts
11,469
Reaction score
12,391
Jamani Kiukweli babu alikua fundi wa kutisha pamoja na uchelsea wangu ila namkubali sana.

sasa ndo ivyo tena Ferg kaachia ngazi tutashuhudia vichapo mfululizo kwa man u next season na uhaba wa vikombe kama arsenal miaka 9 mfululizo,na migomo baridi ya wachezaji kwa kocha MOYES,si freemason kaondoka!! haa haa haa haa.im waiting to be insulted by man u fans.
 
Babu yupo around palepale..bado yupo kikosin ame switch kiti tu..then unatakiwa kujua Man U si timu ya mtu mmoja..

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Jamani Kiukweli babu alikua fundi wa kutisha pamoja na uchelsea wangu ila namkubali sana.

sasa ndo ivyo tena Ferg kaachia ngazi tutashuhudia vichapo mfululizo kwa man u next season na uhaba wa vikombe kama arsenal miaka 9 mfululizo,na migomo baridi ya wachezaji kwa kocha MOYES,si freemason kaondoka!! haa haa haa haa.im waiting to be insulted by man u fans.
This shit is real😀😀😀 utabiri wangu ulikuwa mkubwa sana
 
Mwaka wa tano huu tangu sred hii ibandikwe....no kikombe kwa red devils
 
unataka utuaminishe tangu fergie aondoke Man Utd hawajanyanyua kwapa?
 
Mwaka wa tano huu tangu sred hii ibandikwe....no kikombe kwa red devils
Usichojua ni kwa kwamba club yenye makombe mengi tokea fergie ang'atuke pale O.T bado ni Man Utd ikiwa na vikombe vitano, kama ifuatavyo;
FA Cup (1): 2015-16
League Cup (1): 2016-17
Europa League (1): 2016-17
Community Shield (2): 2013-14, 2016-17
Achana na Man U, kuna vitu vingi sana kwenye mpira huvijui...
 
EPL wewe bwege....hivyo vikombe vya mbuzi timu kibao tu wamenyakua,shubamit
 
Sasa wewe umesemaje? Uzi wako umespecify kama ni epl...??dogo tuliza mumkari umepanic bure tu, unaanza kutukana!
 
Usichojua ni kwa kwamba club yenye makombe mengi tokea fergie ang'atuke pale O.T bado ni Man Utd ikiwa na vikombe vitano, kama ifuatavyo;
FA Cup (1): 2015-16
League Cup (1): 2016-17
Europa League (1): 2016-17
Community Shield (2): 2013-14, 2016-17
Achana na Man U, kuna vitu vingi sana kwenye mpira huvijui...
Hadi community shield!!?..basiwana vikombe vingi kuliko yoyote epl toka 2013-18
 
Sasa wewe umesemaje? Uzi wako umespecify kama ni epl...??dogo tuliza mumkari umepanic bure tu, unaanza kutukana!
Kumbe nimetukanA? duuh ikaushie tu bosi mwezi wa toba huu!
 
Back
Top Bottom