Kuondoka kwa kocha wa Simba MO alitudanganya tatizo ni Offer imejulikana

Mudi pamoja na kocha ndo wamewapiga saundi ujue mudi bahili sana alipoona Morroco wamepanda Dau na yeye Pesa zake anazipenda sana akala njama na kocha ili asionekane kama kashindwa kutoa pesa
Ulikuwa naye meza moja kujadili unayosema au hisia za kiutopolo
 
[emoji23][emoji23][emoji23] taifa lilipata aibu ya kihistoria
 
Hizo 5 ndo tuliwabeba kwa mbeleko mkaishi confideration hatua za mwanzo ila sisi hapo ilikuwa makundi tukawabeba mkazingua ,utopolo hamna haya hata kujadili
Yanga imekuzidi kila kitu kwenye historia ya soka


Tumekufunga magoli mengi

Head to Head nimekufunga mara nyingi zaidi

Ubingwa wa ligi kuu nimechukua mara nyingi zaidi kuliko wewe


Unapata wapi kiburi cha kutamba mbele ya Yanga Africa??

Kwenye michuano ya kimataifa yanga ndio tumeipa heshima hii nchi Simba hamuwezi kuvuka Group Stage peleka paka hata 1000 lakn hutoboii!!


Ukienda Congo Unachezea Hamsa ukienda Misri unakula Hamsa ukienda Sudani unakula Hamsa


Mwaka huu Taifa linaweza kupokea Aibu ya karne
 
Shafii anajipambanua yeye ni muandishi nguli wa michezo sasa anashindwa nini kumuuliza sven mwenyewe sababu ya kuondoka anabaki kupiga ramli chonganishi?

Simba tulishaachana na uswahili tunaelewa maana ya privacy kizungu. Mtu akishasema 'family matter' hutakiwi kuhoji chochote unatakiwa uheshimu hilo basi.
 
Kwa nini hakwenda Belgium kwanza ndio arudi Morocco.
Come on brother yani Hilo nalo ni swali? Sijui Kwanza ata kama ulielewa, anyway mfano wewe umepata deal let's say mkoani Morogoro na ulikuwa kikazi Dar ila familia yako inaishi dodoma, umeondoka kazini kwako kwa zamani yani dar utapita Morogoro kusaini deal au uende Kwanza dodoma kwa familia yako then urudi Morogoro kusaini deal? Hivi nyie watu wa namna hii akili zenu mnatumia kuvukia barabara tu eti?

Na situation ilivo kuna uwezekano kuwa mazungumzo kati ya warabu na sven yamefanyika muda mrefu ata kabla ya mechi ila kwakuwa sven ni professional hukutaka kuleta sintofahamu ndani ya kikosi, akatulia Kwanza team icheze na platnum ndio atoe yake ya kutaka kusepa kwahiyo sio km vile hiyo deal kaipata akiwa kwenye ndege
 
Basi hata yeye mwenyewe alidanganya. Kwa mujibu wa caption yake Instagram alisema anataka kuwa karibu na familia yake.

Kwanini Sasa useme mo ndo kadanganya?? Je kama nayeye alidanganywa na kocha mwenyewe
kila mtu anajua sababu ya kuachana na mpenzi wake ila kukwambia ukweli nn kilitokea ni wachache sana wanafanya hivo ..walio wengi imeisha hiyo
 
uko sawa lakini mpira wetu na ushabiki ni wa kishamba kama wa harmonize usisahau
 
kila mtu anajua sababu ya kuachana na mpenzi wake ila kukwambia ukweli nn kilitokea ni wachache sana wanafanya hivo ..walio wengi imeisha hiyo
Uhusiano wa kimapenzi na uhusiano wa kikazi(Mtu na mwajiri wake) vinalingana kwa mizani IPI??
 
Sijui wewe ni Utopolo tukuache au tukueleweshe, .
Hakuna sehemu MO kadanganya, hakuna mwajiriwa yoyote unaweza ukaenda kwa mwajiri ukasema mi naacha kazi kwa sababu nimepata offer yenye mshahara mkubwa. Lazima utatafuta sababu ambayo huyo mwajiri unayemuhama atakuelewa. Ko MO naye alidanganywa.
Pili, Sven anaweza akawa amedanganya kua anaondoka kwa sababu ya familia au ni mkweli. Kwa sababu hata wewe kama familia yako ipo mbeya afu unafanya kazi Dodoma na unatamani ukae karibu na familia, afu ukapata offer ya kufanya kazi makambako ni rahisi kuacha kazi Dodoma na kwenda kufanya kazi kampuni iliyoko. Makambako ili iwe rahisi kutembelea familia yako.
Tuache kutengeneza nadharia hasi kwenye kila jambo.
Ila kama wewe ni Utopolo tuendelee na maono yako
 
unaelewa umuhimu wa mtu kuondoka kwasababu fulani?

bay nature stuetion hata ukimuuliza mtoto mdogo atakujibu kwenye hili mlidanganywa hv unashindwa kutumia tu akili ya kawaida ulitaka Kocha awakwepe kwa'stayle ipi Kama si kuwaambia anamatatizo ya kifamilia ili akale donge nono?

Ukweli utabaki pale pale Seven pamoja na Mudi lao nimoja baada ya kushindwana kwenye Offer mudi akatoa Go ahead....

Ukweli mchungu mmepoteza kocha kwenye mazingira mabaya umuhimu wake ulikua mkubwa zaidi kwenye hiki kipindi


Over
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…