Viol
JF-Expert Member
- Dec 15, 2009
- 25,420
- 18,298
Ulikuwa naye meza moja kujadili unayosema au hisia za kiutopoloMudi pamoja na kocha ndo wamewapiga saundi ujue mudi bahili sana alipoona Morroco wamepanda Dau na yeye Pesa zake anazipenda sana akala njama na kocha ili asionekane kama kashindwa kutoa pesa