Pre GE2025 Kuondoka kwa Lissu CHADEMA baada ya kushindwa Uenyekiti kwa fedheha kutakifanya chama kuwa imara zaidi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Ni mjinga pekee ambaye bado atakua na imani na chedema..
 
Hivi umehesabu una post ngapi za uzushi mwezi huu kuhusu CHADEMA na viongozi wake na zote zimefemea?😂
Gentleman,
waelezee wadau vizuri na kwa weledi kuhusu uwazi na ukweli dhidi ya kila mawazo, maoni na hoja ninazo washirikisha wadau humu jukwaani,

huna haja ya kupotosha wadau 🐒
 
LISSU HAONDOKI CHADEMA
 
actually,
itakua ndio mwisho wa unafiki, mdomo na makelele yake right?🐒
Mkuu punguza chuki na uongo. Lissu akiondoka CHADEMA, sio hoja kwamba chama kitakuwa imara.
 
Mungu akupatie akili na kama wewe pia akupe kumbusho la milele
Nakuombea Neema na Baraka za Mungu,
daima, akuepushe na mihemko na ujuaji kupitiliza, usiwe manafiki mwenye mdomo na makelele kama kibaraka 🐒
 
TAL ni tatizo hata kwenye familia yake!
Hata familia haijaweza kumshauri na akishauriwa ni mtu WA vita!

Wajumbe,familia haijamtuma kugombea ,mkataeni !
Mliompiga risasi mnajitokeza kwenye vita ya maneno.
 
Kuondoka kwako duniani kabla ya 2025 kutaifanya Tanzania kupunguza wajinga. Mungu chukua hili lishetani haraka lichome Moto liteketee kabisa
Tuliza mihemko na makasiriko,
Mungu akujalie utulivu wa fikra, Aimen 🙏
 
muerevu umbaki na mihemko pekee bila point,

sifahamu wadau watakusaidiaje sasa gentleman?🐒
Yaani unakaa kabisa na akili zako unawaza kwamba siku moja mtakuja kuongoza nchi? Hayo mnayoyahubiri wenyewe hamyaishi.
 
Chama kitaaminika zaidi na zaidi na tutegemee wana CCM makini kuomba uanachama CDM kabla ya 2025.

Maana inawezekwna kabisa kuwaondoa CCM madarakani bila hata kumwaga damu kitu ambacho kambi ya Lissu haitaki kuamini.
 
Yaani unakaa kabisa na akili zako unawaza kwamba siku moja mtakuja kuongoza nchi? Hayo mnayoyahubiri wenyewe hamyaishi.
hebu tafadhali elezea kwa utulivu kwa faida ya wadau,

unasemaje eti gentleman?🤣
 
Ashiii😬😬, ulivyoandika nilidhani mwamba kishaondoka.
 

Huyu
Mama chawa😂😂 nani kasema ataondoka kwenda wapi CCM🤮
 
Hakika uchawa ni kazi ngumu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…