Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Gentleman,Hivi umehesabu una post ngapi za uzushi mwezi huu kuhusu CHADEMA na viongozi wake na zote zimefemea?😂
LISSU HAONDOKI CHADEMAInfact,
Itakua ni mwisho wa unafiki, migawanyiko, chuki binafsi, tamaa ya madaraka na vita ya maneno miongoni mwa viongozi wake waandamizi na miongoni mwa wanachadema kwa ujumla.
Itakua ni mwanzo wa chadema mpya, moja na yenye ushawishi wa hoja badala ya makelele, kujipa umuhimu na kuzushiana tuhuma na mambo ambayo hayana ushahidi wala uthibitisho.
Kiufupi CHADEMA itakua imepata ahuweni kubwa na muhimu sana kisiasa kwa kujitua mzigo mzito wa viongozi wasio na shukrani, ambapo Chadema imeteseka kuwabeba kwa kipindi kirefu sana.
Hata hivyo,
wajumbe wa mkutano mkuu Taifa wa CHADEMA wamejipanga kuinusuru CHADEMA Taifa kutumbukia kwenye mikono ya mabwenyenye ya magharibi kupitia kibaraka wao mwenye tamaa, mdomo na makelele mengi yasio na mpangilio 🐒
Soma Pia:
Kila la kheri Yanga Africa dhidi ya Fountain Gate FC.
- Tundu Lissu: Nimewasilisha kusudio la kugombea nafasi ya Mwenyekiti CHADEMA
- Lissu: Sijafikiria kuhama CHADEMA kwa sababu ndio Chama Bora kabisa barani Africa lakini hiyo haina maana Viongozi wake ni Malaika!
Mungu Ibariki Tanzania.
Duh.TAL ni mzigo kuanzia Ikungi hadi Belgium!
Mliompiga risasi mnajitokeza kwenye vita ya maneno.TAL ni tatizo hata kwenye familia yake!
Hata familia haijaweza kumshauri na akishauriwa ni mtu WA vita!
Wajumbe,familia haijamtuma kugombea ,mkataeni !
Yaani unakaa kabisa na akili zako unawaza kwamba siku moja mtakuja kuongoza nchi? Hayo mnayoyahubiri wenyewe hamyaishi.muerevu umbaki na mihemko pekee bila point,
sifahamu wadau watakusaidiaje sasa gentleman?🐒
Ashiii😬😬, ulivyoandika nilidhani mwamba kishaondoka.Infact,
Itakua ni mwisho wa unafiki, migawanyiko, chuki binafsi, tamaa ya madaraka na vita ya maneno miongoni mwa viongozi wake waandamizi na miongoni mwa wanachadema kwa ujumla.
Itakua ni mwanzo wa chadema mpya, moja na yenye ushawishi wa hoja badala ya makelele, kujipa umuhimu na kuzushiana tuhuma na mambo ambayo hayana ushahidi wala uthibitisho.
Kiufupi CHADEMA itakua imepata ahuweni kubwa na muhimu sana kisiasa kwa kujitua mzigo mzito wa viongozi wasio na shukrani, ambapo Chadema imeteseka kuwabeba kwa kipindi kirefu sana.
Hata hivyo,
wajumbe wa mkutano mkuu Taifa wa CHADEMA wamejipanga kuinusuru CHADEMA Taifa kutumbukia kwenye mikono ya mabwenyenye ya magharibi kupitia kibaraka wao mwenye tamaa, mdomo na makelele mengi yasio na mpangilio 🐒
Soma Pia:
Kila la kheri Yanga Africa dhidi ya Fountain Gate FC.
- Tundu Lissu: Nimewasilisha kusudio la kugombea nafasi ya Mwenyekiti CHADEMA
- Lissu: Sijafikiria kuhama CHADEMA kwa sababu ndio Chama Bora kabisa barani Africa lakini hiyo haina maana Viongozi wake ni Malaika!
Mungu Ibariki Tanzania.
Infact,

Hakika uchawa ni kazi ngumu sanaInfact,

wajumbe wa mkutano mkuu Taifa wa CHADEMA wamejipanga kuinusuru CHADEMA Taifa kutumbukia kwenye mikono ya mabwenyenye ya magharibi kupitia kibaraka wao mwenye tamaa, mdomo na makelele mengi yasio na mpangilio [emoji205]