Kuondolewa kwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Hifadhi ya Watumishi wa Umma (PSSSF)

Tarehe 6/2/2024 lilitolewa tangazo la mabadiliko katika uongozi wa mashirika kadhaa likiwemo hilo lililotajwa hapo juu.

Hilo shirika hapo nyuma lilikuwa na historia ya kutofanya vizuri katika majukumu yake mpaka pale ndugu HOSEA KASHIMBA alipoteuliwa kuliongoza shirika hilo.

Malalamiko ya malipo ya wanachama yalifanyiwa kazi na gharama za uendeshaji wa shirika zilipungua sana.

Naandika kuhusu bwana Kashimba kwasababu namfahamu kama mtu mmoja nadra sana kumpata hapa nchini; he is very intelligent, knowledgeable, calm and respectful. He is a real patriotic finance professional.

Unless Samia ameshauriwa kumuondoa hapo na kumpa kazi sehemu nyingine challenging , nchi itakuwa imepoteza huduma za mtu makini sana kwenye mambo ya fedha! Kwa watu wasiojua, huyu bwana Hosea Kashimba has played a big role towards the good performance of CRDB as a member of their board of directors and chairman of their Audit committee!

Huyu bwana ni tunu ambayo nchi haina budi kuitumia vizuri.

Nimeamdika hivi kwa kujua kuwa kuna watu wengi wanakuwa victims wa majungu ili watu wao wateuliwe ili waweze kwenda kula ni sio kufanya kazi. I sincerely hope Hosea Kashimba is not going to be wasted.
Hata mimi nimeshangaa kuondolewa PSSSF! Hakika amefanya kazi nzuri sana kupita viwango vya watendaji wengi wa serikali.

Pensions zimekuwa zikilipwa kwa wakati tofauti na zamani ambapo zilikuwa zikilipwa kupindukia mwezi husika. Yaani mfano pensions za January zingelipwa February, lakini kwa sasa pension zinalipwa sambamba na mishahara ya watumishi wa serikali na wakati mwingine mapema zaidi.

Hakika atakumbukwa!
 
Unaamini kila mzanzibari akilalamika maamuzi yanatolewa?
Inategemea ni wa namna gani na analalamika kwa nani? Wengi wao wana influence kwa mama Abdul!
Na mama Abdul amezungukwa na hao wa Kezimkazi ; hivyo hata wakiwa kwao anaweza toa maamuzi!
 
Mmoja ameona ateme yai 😂
Mwenzie naye kamtemea yai🤣
Lakini mmoja Katema yai viza! Ndio maana alipoambiwa hana ufahamu wa kutofautisha kati ya kamati ya utendaji na kamati ya board ya wakurugenzi kwenye benki akakimbia!!
Pamoja na kutokujua kwake, wachawa wamelundika “!ikes” kibao kwenye majibu yake viza!
 
PSSSF ilikuwa on fire, Wastaafu walikuwa wameanza kunawiri, mafao yalikuwa yanalipwa kwa wakati lkn gafla taa imezimika.
 
Kama ni mzalendo sana atakuwa alikuwa kikwazo kwenye ukwapuaji wa mizigo hapo psssf. Na ukizingatia tunaenda kwenye uchaguzi 2025
Haya mambo yanataka kujirudia rudia! Vijana wa miaka Hii Inawezekana wasikimbuke; wakati wa utawala wa Kikwete mfuko wa hifadhi ya wafanyakazi NssF enzi hizo chini ya uongozi wa Ramadhan Kitwana Dau, mfuko ulifilisika kwa fedha za wafanyakazi kutumiwa vibaya!! Ccm walihusika moja kwa moja la ufisadi wa Nssf ambao baadae ilileta mateso makubwa kwa wafanyakazi pale walipodai mafao yao lakini shirika likawa halina fedha.
Mungu apishe mbali kuondoka kwa Kashimba kusiturudishe nyuma kwenye machungu ya Dau!
Naandika haya kwa uchungu kwasababu I witnessed the people’s pain during that horrible era!
Watu walikufa bila kulipwa mafao yao! Hali hii ilirekebishwa hapo PSSSF!
 
Tarehe 6/2/2024 lilitolewa tangazo la mabadiliko katika uongozi wa mashirika kadhaa likiwemo hilo lililotajwa hapo juu.

Hilo shirika hapo nyuma lilikuwa na historia ya kutofanya vizuri katika majukumu yake mpaka pale ndugu HOSEA KASHIMBA alipoteuliwa kuliongoza shirika hilo.

Malalamiko ya malipo ya wanachama yalifanyiwa kazi na gharama za uendeshaji wa shirika zilipungua sana.

Naandika kuhusu bwana Kashimba kwasababu namfahamu kama mtu mmoja nadra sana kumpata hapa nchini; he is very intelligent, knowledgeable, calm and respectful. He is a real patriotic finance professional.

Unless Samia ameshauriwa kumuondoa hapo na kumpa kazi sehemu nyingine challenging , nchi itakuwa imepoteza huduma za mtu makini sana kwenye mambo ya fedha! Kwa watu wasiojua, huyu bwana Hosea Kashimba has played a big role towards the good performance of CRDB as a member of their board of directors and chairman of their Audit committee!

Huyu bwana ni tunu ambayo nchi haina budi kuitumia vizuri.

Nimeamdika hivi kwa kujua kuwa kuna watu wengi wanakuwa victims wa majungu ili watu wao wateuliwe ili waweze kwenda kula ni sio kufanya kazi. I sincerely hope Hosea Kashimba is not going to be wasted.
Tanzania imejaa watawala na machawa kila kona.

Ni kosa kutokuwa chawa wa mtawala.

Naamini umenielewa
 
Kama unafanya kazi benki unatakiwa Ufukuzwe mara moja kwa kukosa umakini! Huna uwezo wa kutofautisha kati ya kamati za utendaji na kamati za BODI ya wakutugenzi!
Kamati za bodi hazifanyi kazi yoyote isipokuwa kupokea ripoti za kamati tendaji na kuandaa taarifa inayopitishwa na bodi. Bodi ni kama ilivyo kwa chancellor wa chuo, yupo pale kiprotokali lakini kazi inafanywa na vice chancellor.
 
PSSSF chini ya Kashimba ilijaa wafanyakazi wezi na matapeli.

Wanatumia taarifa za ofisi kuwatapeli wastaafu.

Ombi kwa Badru ayafanyie kazi malalamiko ya watu,hicho kitengo cha Huduma kwa wateja wanashirikiana na watu wa nje kutapeli wastaafu.
Hao wastaafu wanatapeliwaje?
Hebu weka wazi ili iwe elimu, tahadhari na msaada kwa wastaafu wengine.
 
Kamati za bodi hazifanyi kazi yoyote isipokuwa kupokea ripoti za kamati tendaji na kuandaa taarifa inayopitishwa na bodi. Bodi ni kama ilivyo kwa chancellor wa chuo, yupo pale kiprotokali lakini kazi inafanywa na vice chancellor.
Afadhali ukae kimya unazidi kujidhalilisha! Kama hazifanyi kazi yeyote kwanini ziko kisheria?
 
Lakini mmoja Katema yai viza! Ndio maana alipoambiwa hana ufahamu wa kutofautisha kati ya kamati ya utendaji na kamati ya board ya wakurugenzi kwenye benki akakimbia!!
Pamoja na kutokujua kwake, wachawa wamelundika “!ikes” kibao kwenye majibu yake viza!
Bulesi endelea mkuu,
 
Tuma kwenye Namba hii
Kivipi?
Hapo taarifa za mwanachama zinahusishwaje?

Soma maelezo ya huyu mdau.👇
PSSSF chini ya Kashimba ilijaa wafanyakazi wezi na matapeli.

Wanatumia taarifa za ofisi kuwatapeli wastaafu.

Ombi kwa Badru ayafanyie kazi malalamiko ya watu,hicho kitengo cha Huduma kwa wateja wanashirikiana na watu wa nje kutapeli wastaafu.
 
Kivipi?
Hapo taarifa za mwanachama zinahusishwaje?

Soma maelezo ya huyu mdau.👇
Wanatumia taarifa hizo in collaboration na wastaafu halafu wanawatapeli au wanatumia hizo taarifa wao wenyewe wafanyakazi bila kuwahusisha wanachama wahusika?

Kama wafanyakazi wana collaborate na wanachama wahusika halafu wanawatapeli huo ni uzembe wa wanachama husika na huwezi kulaumu management.
Kama wafanyakazi wanatumia taarifa za wanachama bila wao kujua na kuweza kuchukua mafao toka kwenye shirika huo ni wizi (forgery) ambao unatakiwa management kuchukua hatua kufuatana na criminal procedure code!
 
Tarehe 6/2/2024 lilitolewa tangazo la mabadiliko katika uongozi wa mashirika kadhaa likiwemo hilo lililotajwa hapo juu.

Hilo shirika hapo nyuma lilikuwa na historia ya kutofanya vizuri katika majukumu yake mpaka pale ndugu HOSEA KASHIMBA alipoteuliwa kuliongoza shirika hilo.

Malalamiko ya malipo ya wanachama yalifanyiwa kazi na gharama za uendeshaji wa shirika zilipungua sana.

Naandika kuhusu bwana Kashimba kwasababu namfahamu kama mtu mmoja nadra sana kumpata hapa nchini; he is very intelligent, knowledgeable, calm and respectful. He is a real patriotic finance professional.

Unless Samia ameshauriwa kumuondoa hapo na kumpa kazi sehemu nyingine challenging , nchi itakuwa imepoteza huduma za mtu makini sana kwenye mambo ya fedha! Kwa watu wasiojua, huyu bwana Hosea Kashimba has played a big role towards the good performance of CRDB as a member of their board of directors and chairman of their Audit committee!

Huyu bwana ni tunu ambayo nchi haina budi kuitumia vizuri.

Nimeamdika hivi kwa kujua kuwa kuna watu wengi wanakuwa victims wa majungu ili watu wao wateuliwe ili waweze kwenda kula ni sio kufanya kazi. I sincerely hope Hosea Kashimba is not going to be wasted.
Inategemea na sehemu anayoabudia
 
Lakini mmoja Katema yai viza! Ndio maana alipoambiwa hana ufahamu wa kutofautisha kati ya kamati ya utendaji na kamati ya board ya wakurugenzi kwenye benki akakimbia!!
Pamoja na kutokujua kwake, wachawa wamelundika “!ikes” kibao kwenye majibu yake viza!

Nimefuatilia marumbano yenu nimegundua wew ndio kiazi. Unaacha kujenga hoja unakimbilia matusi na upo so emotional. Yaani kama una elimu basi bado hujaelimika. Unalazimisha unachohisi wew ni sahihi wote tuone ni sahihi
 
Afadhali ukae kimya unazidi kujidhalilisha! Kama hazifanyi kazi yeyote kwanini ziko kisheria?
Unabisha ili uzi uendelee. Sasa sikiliza mimi nimekaa kwenye working committees na steering committees za kwenye hizo benki mbili ndio maana nakuona unaongea mambo usiyofahamu.

Hizi kamati ndio zinasimamia miradi mbalimbali halafu ripoti zake zinapelekwa bodi for ratification. Bodi inaweza kuagiza internal audit waje kukagua hizi ripoti na kazi nzima.

Ripoti ya ukaguzi inayoandaliwa na internal audit ikishapata ratification ya bodi ndipo inasainiwa na wenye mamlaka hayo ndani ya bodi.

Sasa mtu anayepokea, kupitisha na kusaini ripoti huwezi kumpa credit ya utendaji bora. Anafanya sehemu yake lakini sio utendaji.

Hizo bodi zipo kisheria ili kuhakikisha kila mtu anapata usimamizi.

Pata elimu uache kuropoka .
 
Back
Top Bottom