Na mm hata niongee na mtu aliyekuwa hajui kireno naongea na nishazoea sana hata kujitahidi kuwacha ila ndio hivyo.Actually mimi huwa nachanganya kifaransa na kireno
Ni uelewaEti wakuu kuongea kwa kuchanganya Lugha 2 kwa pamoja, Kiswahili na kiingereza, hiyo huwa inaonesha usomi wa mtu, ujanja au mtu anakuwa hajui lugha zote 2 hivyo anachanganya kupata misamiati ili kukamilisha sentensi zake?
Siyo kitu cha ajabu kusikia I garantee you utakuwa salama we nenda tu, au any way hilo limeisha, na michanganyo mingine mingi ambayo mingine hadi huwa haina ulazima kabisa wa kutokea.
Mie najifunza lugha ya kiingereza na huwa napochanganya nakuwa nafanya mazoezi ya kuongea kiingereza kikinishinda natupia kiswahili ambacho nakimudu, na si mbaya kwa watu kuchanganya kwa lengo la kujifunza
Ila unakuta mtu anaongea hivyo mbele ya watu ambao hata hawajui hicho kingereza au kiswahili chenyewe, anaenda changanga lugha mbele ya waha ambao hata kiswahili kinawasumbua, badala agongee kiha au kiswahili anavuruga kingeswahili sijui anakuwa anataka kuonesha kasoma maana siyo kwa lengo la kujifunza
Lugha ni chombo cha mawasiliano, na lugha inakua, inaiba maneno kutoka lugha mbalimbali.Ushishangae sentensi - I gurantee you...itakuwa inamaana ya kwishwahili - kugarantiiEti wakuu kuongea kwa kuchanganya Lugha 2 kwa pamoja, Kiswahili na kiingereza, hiyo huwa inaonesha usomi wa mtu, ujanja au mtu anakuwa hajui lugha zote 2 hivyo anachanganya kupata misamiati ili kukamilisha sentensi zake?
Siyo kitu cha ajabu kusikia I garantee you utakuwa salama we nenda tu, au any way hilo limeisha, na michanganyo mingine mingi ambayo mingine hadi huwa haina ulazima kabisa wa kutokea.
Mie najifunza lugha ya kiingereza na huwa napochanganya nakuwa nafanya mazoezi ya kuongea kiingereza kikinishinda natupia kiswahili ambacho nakimudu, na si mbaya kwa watu kuchanganya kwa lengo la kujifunza
Ila unakuta mtu anaongea hivyo mbele ya watu ambao hata hawajui hicho kingereza au kiswahili chenyewe, anaenda changanga lugha mbele ya waha ambao hata kiswahili kinawasumbua, badala agongee kiha au kiswahili anavuruga kingeswahili sijui anakuwa anataka kuonesha kasoma maana siyo kwa lengo la kujifunza
Yaani usome Kwa lugha ya Kiswahili miaka 7. Uje usome Kwa English miaka takribani 4,6 au 9 halafu kwenye kuongea uongee pure Swahili au pure English. Ukiweza unastahili tuzo!Eti wakuu kuongea kwa kuchanganya Lugha 2 kwa pamoja, Kiswahili na kiingereza, hiyo huwa inaonesha usomi wa mtu, ujanja au mtu anakuwa hajui lugha zote 2 hivyo anachanganya kupata misamiati ili kukamilisha sentensi zake?
Siyo kitu cha ajabu kusikia I garantee you utakuwa salama we nenda tu, au any way hilo limeisha, na michanganyo mingine mingi ambayo mingine hadi huwa haina ulazima kabisa wa kutokea.
Mie najifunza lugha ya kiingereza na huwa napochanganya nakuwa nafanya mazoezi ya kuongea kiingereza kikinishinda natupia kiswahili ambacho nakimudu, na si mbaya kwa watu kuchanganya kwa lengo la kujifunza
Ila unakuta mtu anaongea hivyo mbele ya watu ambao hata hawajui hicho kingereza au kiswahili chenyewe, anaenda changanga lugha mbele ya waha ambao hata kiswahili kinawasumbua, badala agongee kiha au kiswahili anavuruga kingeswahili sijui anakuwa anataka kuonesha kasoma maana siyo kwa lengo la kujifunza
Dhima kuu ya mawasiliano ni kupashana habari.Eti wakuu kuongea kwa kuchanganya Lugha 2 kwa pamoja, Kiswahili na kiingereza, hiyo huwa inaonesha usomi wa mtu, ujanja au mtu anakuwa hajui lugha zote 2 hivyo anachanganya kupata misamiati ili kukamilisha sentensi zake?
Siyo kitu cha ajabu kusikia I garantee you utakuwa salama we nenda tu, au any way hilo limeisha, na michanganyo mingine mingi ambayo mingine hadi huwa haina ulazima kabisa wa kutokea.
Mie najifunza lugha ya kiingereza na huwa napochanganya nakuwa nafanya mazoezi ya kuongea kiingereza kikinishinda natupia kiswahili ambacho nakimudu, na si mbaya kwa watu kuchanganya kwa lengo la kujifunza
Ila unakuta mtu anaongea hivyo mbele ya watu ambao hata hawajui hicho kingereza au kiswahili chenyewe, anaenda changanga lugha mbele ya waha ambao hata kiswahili kinawasumbua, badala agongee kiha au kiswahili anavuruga kingeswahili sijui anakuwa anataka kuonesha kasoma maana siyo kwa lengo la kujifunza
Nimecheka kwa nguvu sana.hii "Actually" bukoba wameilipia kabisa wanaimiliki