Beira Boy
JF-Expert Member
- Aug 7, 2016
- 19,976
- 32,195
Amani iwe kwenu watanzania wote
Kumeibuka tabia ya watu wengi kutokujua ni nini maana ya ushamba, na hii yote inachangiwa na watu kutokuwa na elimu vyema , hasa ukizingatia kuwa CCM wamewanyima watanzania elimu iliyo bora ili waendelee kuwatawala inavyotakiwa yaan kisawa sawa
Watanzania wengi wameshindwa kabisa kutofautisha baina ya KARAMA na USHAMBA, kitu ambacho kimewafanya wengi wao kukimbia kwao kukimbia makabila yao na kuogopa kabisa kujitambulisha kuwa wao ni wanatokea wapi, na wengi wao kuficha hata lafudhi zao ili wasijulikane wanakotokea, maana wengi huzan watasemwa kuwa ni washamba
Hii yote imesabishwa na ukosefu wa elimu na kujitambua kitu ambacho wasukuma NGOSHAS tumekikataa katakataa na hatumo kwenye huo upuuzi wa kuficha lafudhi zetu na kukataa kabila letu
Watanzania wengi sasa hivi huzunguma kibubai Dubai, kimarekan marekan ili waonekane wajanja pasipo kujua kabisa kuwa wanacho fanya ni upuuzi na upotovu na makufuru mbele ya MUNGU muumbaji
Akija hapa mnaigeria , au mkenya au mganda au mwarabu au mrundi akianza tu kuzungumza moja kwa moja utajua kuwa huyu ni mnaigeria huyu ni mwarabu huyu ni mkenya, kwa maana ya rafudhi ya asili aliyopewa na MUNGU ALIYE JUU SANA lakini wabongo wengi elimu hii hawana hivyo wamekuwa wakiiga kuzungumza kimarekan kidubai Dubai na kihindi hindi
Basi ijulikane kuwa wasukuma sisi kukandamiza ni KARAMA AMBAYO MUNGU BABA KATUPA KAMA ZAWADI YA ASILI YA MILELE , NA NI KARAMA YA MAMLAKA
MUNGU ALIYE JUU SANA WELELO NTEMI WISE APOKEE SIFA MILELE
SEBHA AKUJIWE