Kuongea kwa kukandamiza siyo ushamba bali KARAMA hivyo WASUKUMA tueleweke vyema

Kuongea kwa kukandamiza siyo ushamba bali KARAMA hivyo WASUKUMA tueleweke vyema

Mkipunguza ujuaji na kujipa muda wa kusikiliza ili mjifunze itawasaidia, msukuma ni mbishi na ndio maana anakazia na kupaza sauti kila akiongea, kwa nini hamjifunzi kutoka kwa wachaga? 😂
 
Wanaume wengi wanaongea sauti za kike kile ndogooo
1. Huenda lishe , wana energy kidogo mwilini
2. Hormoni za kiume zimebaki na wasukuma na nguvu za kiume pia ndio maana wanazaa watoto 12 ukosefu wa hormone za kiume hupelekea sauti za kike kama sufuriani.
Ukitaka kujua na kuamini angalia mwanaume anapo balehe na binti pia
Kupata watoto 12+ siyo nguvu.Ni "umaraiya"/tamaa ya ngono kupitiliza na kutojua kupanga uzazi.
 
Back
Top Bottom