Dream Queen
JF-Expert Member
- Nov 4, 2015
- 8,263
- 18,201
Mwanzoni nilikuwa nikimuona mtu anaongea mwenyewe nilizani ni ugonjwa. Lakini sasa hivi nimejilizisha kabisa ni hali ya kawaida maana imenitokea mara kadhaa na sijakoma.Habari wana Jamvi, Poleni na baridi.
Nilikuwa nauliza Wataalam je Kuwaza hadi kujikuta unaongea mwenyewe kwa sauti ni tatizo au kawaida tu?
Fumania mke au kakope mkopo bank then ndio utajua kuongea mwenyewe ni kawaida au tatizo!Habari wana Jamvi, Poleni na baridi.
Nilikuwa nauliza Wataalam je Kuwaza hadi kujikuta unaongea mwenyewe kwa sauti ni tatizo au kawaida tu?
Unge muhurumia...Jana kuna mtu alikua anatembea nyuma yangu anaongea "maisha yamekaza kama kufuli la jela, mwaka huu nisipokua ndege sijui tu" ilibidi nimcheke 😁 sa sijui mzima au mgonjwa
Vitu gani kiongozi? Vipi ulijikuta ukiongea mwenyewe?Kuna watu wamenifanyia vitu wiki hii wamenitafakarisha sana.
Aisee hali ya shida ya akili ni kubwa sana,sijui miaka kadhaa mbele itakuwaje?
SidhaniMkuu ww hujawah kuongea mwenyewe
Habari wana Jamvi, Poleni na baridi.
Nilikuwa nauliza Wataalam je Kuwaza hadi kujikuta unaongea mwenyewe kwa sauti ni tatizo au kawaida tu?
Na atatumbuiza kwenye hako kaharusi kako ka mkekaHapo ukikaza utakuwa mwana hip hop bora 😹😹😹
Hiyo ni kawaida, shida itaanza pale utakapoanza kuongea na watu wasioonekana 😅Habari wana Jamvi, Poleni na baridi.
Nilikuwa nauliza Wataalam je Kuwaza hadi kujikuta unaongea mwenyewe kwa sauti ni tatizo au kawaida tu?
self explaining.Wazaramo wanaiita "Self Explaining" ni kitu cha kawaida na ni kizuri pale ambapo una mawazo fulani badala ya kuyaweka ndani unayatoa nje ndio hiyo "kuongea peke yako"
The smartest people on Earth, talk to themselves
Afya ya akiliHabari wana Jamvi, Poleni na baridi.
Nilikuwa nauliza Wataalam je Kuwaza hadi kujikuta unaongea mwenyewe kwa sauti ni tatizo au kawaida tu?
Basi tulikutana wagonjwa wawiliUnge muhurumia...
Kucheka cheka nako ugonjwa na unamcheka hujui anapitia mangapi...
hapana....fanya meditation ya kutosha, kula lishe nzuri, lala usingizi wa kutoshaTiba yake ndio mpaka Mirembe Dodoma sio
Jibu ni hili kitaalamuWazaramo wanaiita "Self Explaining" ni kitu cha kawaida na ni kizuri pale ambapo una mawazo fulani badala ya kuyaweka ndani unayatoa nje ndio hiyo "kuongea peke yako"
The smartest people on Earth, talk to themselves