Labella
JF-Expert Member
- Jun 26, 2024
- 1,949
- 4,759
Harusi ya mkeka tena?? 😹😹😹Na atatumbuiza kwenye hako kaharusi kako ka mkeka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Harusi ya mkeka tena?? 😹😹😹Na atatumbuiza kwenye hako kaharusi kako ka mkeka
Eee mkuuHarusi ya mkeka tena?? 😹😹😹
Sawa ngoja nimshtue sheikh aje na ubani nikawahi kulala na khanga moja 😹😹😹Eee mkuu
Namba 11. Mimi mtupu 😅😅😅😅Ukiona dalili hizi fika kituo cha afya ya akili haraka!
Denis Mpagaze
__________________
Unajua siku hizi unaweza kukutana na mtu kavaa suti usijue hadi akianza kuongea ndo unasema alaaa, kumbe tuko na mwehu halafu hamsemi😄😄!!
Kwahiyo ukiona haya yanakutokea kimbia chapu hospitali ukatibiwe kabla hujaharibu sana!
1. Kuwa na mawazo sana lakini hujui unawaza nini hasa! Halafu mawazo yanashindana kichwani.
2. Kuwa na furaha iliyopitiliza. Muda wote unatabasamu! Kitu kidogo unacheeeeka mpaka unakaa chini! Ukiulizwa unacheka nini huna jibu!
3. Kuwa mpoleee na mkimya kupitiliza. Hata ukiwa na watu uko kimyaaa kama bubu. Unageuza geuza macho tu kama kinyonga maskini ya Mungu. Kapate tiba!
4. Unalala sanaa! Unaingia kitandani saa mbili usiku, hata kula unaona uvivu, unaamka kesho yake saa sita mchana na bado una usingizi😄
5. Kuwa msahaulifu kupitiliza. Yaani ukiweka kitu sehemu hukumbuki. Yaani kila ukitaka kuondoka hukumbuki uliweka wapi funguo! Unatafuta mpaka una sala!
6. Kutokuwa na utulivu katika kutenda. Unaanza kupika mara unaacha, unaenda kufua unaacha, unaenda kulala, unaamka unaangalia TV, programu haijaisha umeshika simu!
7. Umejaa hofu ya kila kitu. Hujiamini. Huna kosa lakini unajiona mwenye hatia! Unamuoga kila mtu.
8. Unatamani mtu akuchokoze umnase kibao ili ufurahi. Asipokuchokoza unaumiaaa! Nenda hospitali.
9. Unatabia ya kufanya kitu ambacho hujatarajia kukifanya na baadaye unajilaumu na kuapa hutorudia. Halafu unarudia tena!
10. Unapewa muda wa kusalimia, unahutubia, muda, unapewa kuhubiri, unahubiri hadi watu wanasinzia, ukipewa nafasi unaongea hadi kushindwa kufanya majukumu mengine.
11. Unapenda kesi kweli. Jambo dogo unampeleka mtu polisi! Unaomba mtu akuguse ukamfunge!
12. Hupendi kufuata sheria hata siku moja. Unaendesha gari kwa speed kubwa pasiporuhusu speed kubwa.
13. Kukasirika sana kwa jambo dogo sana, na hivyo kuanzisha ugomvi.
Kanga moja tena? Nipo kwenye soko la matango hapa. Suruali inaweza kutuna wakajua nimeibaSawa ngoja nimshtue sheikh aje na ubani nikawahi kulala na khanga moja 😹😹😹
Ni moja ya dalili ya tatizo la Afya ya akili!Habari wana Jamvi, Poleni na baridi.
Nilikuwa nauliza Wataalam je Kuwaza hadi kujikuta unaongea mwenyewe kwa sauti ni tatizo au kawaida tu?
😹😹😹 Halafu nyie wenye viba100 mnapenda kweli kujimwambafai mna matangoKanga moja tena? Nipo kwenye soko la matango hapa. Suruali inaweza kutuna wakajua nimeiba