Kuongea na mababu na mabibi zako waliotangulia mbele za haki

Magical power

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2022
Posts
2,158
Reaction score
5,626
Tafuta vyakula alivyopenda kula na vinywaji alivyopendelea wakati wa uhai wake huyo marehemu.

Nenda makaburini tafuta nafasi nzuri ya kukaa hakikisha uko peke yako na huonekani na watu. Ksha mwaga kile chakula alichopenda marehem au mzimu unaouita ,sema hivi we fulani weka jina lake mimi fulani nimekuja kukusalimia nimekuletea na chakula na vyakula na vinywaji unavyovipenda.

Pia nimekuletea na kinyaji chako pendwa kisha kimwage.

Kama alikuwa ni Babu,Bibi,Mama au Baba mwite kwa cheo chake mwambie shida zako zote kisha mwambie aingilie kati akusahidie maana wao wanauwezo mkubwa kushinda wewe uliyeduniani kama ni jambo ambalo ulitaka wakuonyeshe wakaribishe waje usingizini wakuonyeshe njia za kuyatatua au wakusahidie wao moja kwa moja.

Ukimaliza hapo washa mshumaa mwekundu na mweupe na udi. Ukimaliza wacha vile vitu pale na uondoke urudi kwako bila ya kuangalia nyuma wala kuongea na mtu njiani hivyo kama ulienda na bodaboda au watu wapange mapema kuwa ukirudi wasikusemeshe.

Ukifika nyumbani tandika shuka la jadi kama ni la kimasai au la kigogo chini na ulale ndani ya siku 3 lazima huo mzimu ukutokee na kukupa msahada. Kumbuka ndani ya siku 3 usifanye zinaa yeyote na husioge ili husipoteze ile nishati uliyotoka nayo kwenye tambiko.

Fanya hivyo ni uhakika kabisa.
By magical power
 
20250112_093956.jpg
 
Hii ndio Mila na desturi yetu shida dini za watu weupe zishatuvuruga
 
Back
Top Bottom