Kuongea na mababu na mabibi zako waliotangulia mbele za haki

Kuongea na mababu na mabibi zako waliotangulia mbele za haki

Hao mababu walishindwa maisha yao hawakuishi enzi ya technology watakusaidia nini.
Adui mkubwa wa mwanadamu ni mawazo akili ondoa mental block uyaone maisha kwenye mwanga bora
 
1737709804276.jpg
 
Tafuta vyakula alivyopenda kula na vinywaji alivyopendelea wakati wa uhai wake huyo marehemu.

Nenda makaburini tafuta nafasi nzuri ya kukaa hakikisha uko peke yako na huonekani na watu. Ksha mwaga kile chakula alichopenda marehem au mzimu unaouita ,sema hivi we fulani weka jina lake mimi fulani nimekuja kukusalimia nimekuletea na chakula na vyakula na vinywaji unavyovipenda.

Pia nimekuletea na kinyaji chako pendwa kisha kimwage.

Kama alikuwa ni Babu,Bibi,Mama au Baba mwite kwa cheo chake mwambie shida zako zote kisha mwambie aingilie kati akusahidie maana wao wanauwezo mkubwa kushinda wewe uliyeduniani kama ni jambo ambalo ulitaka wakuonyeshe wakaribishe waje usingizini wakuonyeshe njia za kuyatatua au wakusahidie wao moja kwa moja.

Ukimaliza hapo washa mshumaa mwekundu na mweupe na udi. Ukimaliza wacha vile vitu pale na uondoke urudi kwako bila ya kuangalia nyuma wala kuongea na mtu njiani hivyo kama ulienda na bodaboda au watu wapange mapema kuwa ukirudi wasikusemeshe.

Ukifika nyumbani tandika shuka la jadi kama ni la kimasai au la kigogo chini na ulale ndani ya siku 3 lazima huo mzimu ukutokee na kukupa msahada. Kumbuka ndani ya siku 3 usifanye zinaa yeyote na husioge ili husipoteze ile nishati uliyotoka nayo kwenye tambiko.

Fanya hivyo ni uhakika kabisa.
By magical power
Washindwe kujisaidia wasife wakusaidie wewe baada ya kufa Upuuzi, Ina maana mababu wote kabla hawajafa hawana matatizo? Kila siku mjukuu wangu Nina shida nisaidie, alafu akifa yeye ndo anasaidia watu!!!!! Dah Dunia tamu sana, huo ni ushirikina na ni kazi ya mashetani, Kaa mbali Mwabudu Allah pekee yake.
 
Bado una elimu ya ulimwengu wa roho mkuu
 
Africa bongo lala kweli😂😂 kwaiyo baba/mama/bibi/Babu 👴🏾👴🏾 Yako baada ya kufa unawaita majini?
Shetani (Majini) Sifa yao kubwa ni ma deceivers wazuri kaa ukilijua Hilo Hao wafu mnaowaomba hawana uwezo wowote wa kunufaisha Wala kudhuru
 
Kila mizimu Ina codes zao za kuiamsha,kufanya hivyo kunaweza kukuletea mambo mazito kwenye maisha yako,ukiiita roho yoyote kwenye ulimwengu wa giza ni lazima ujue codes za kuirudisha ilipotoka,,vinginevyo utapata matatizo makubwa,pengine hata kuchizika au Kuna wafu
 
Mkisikia watu wanakumbwa na mapepo machafu ndio kama hivi sasa.
 
Shetani (Majini) Sifa yao kubwa ni ma deceivers wazuri kaa ukilijua Hilo Hao wafu mnaowaomba hawana uwezo wowote wa kunufaisha Wala kudhuru
Bado ujanijibu zaidi umetoa maelezo badala ya kunipa jibu
 
Back
Top Bottom