Magical power
JF-Expert Member
- Sep 27, 2022
- 2,158
- 5,626
- Thread starter
-
- #41
Watu hawajui historyMkwawa alisalitiwa na mtu wake aliyemwamini huyu alikuwa toka Tabora.
Jamaa aliuza ramani ya ulinzi wa mkwawa na mbinu za kivita akawapa wazungu.
Ila Mkwawa aliwashinda Wajerumani katika vita ya kwanza.
Sahihi kabisa si lolote si chochoteShetani (Majini) Sifa yao kubwa ni ma deceivers wazuri kaa ukilijua Hilo Hao wafu mnaowaomba hawana uwezo wowote wa kunufaisha Wala kudhuru
Eti waliotangulia mbele za haki, huko mbele za haki ni kwa Allah na Allah hataki hyo mambo kwake Atakuadhibu kwa kufanya ushirikina, kama unaamni mbele ya haki kupo huko no kwa Allah na hayo mambo hataki Acha ndugu ushirikina, swali je na wewe ukifa wajukuu zako utakuwa unawasaidia ukiwa umekufa?Tafuta vyakula alivyopenda kula na vinywaji alivyopendelea wakati wa uhai wake huyo marehemu.
Nenda makaburini tafuta nafasi nzuri ya kukaa hakikisha uko peke yako na huonekani na watu. Ksha mwaga kile chakula alichopenda marehem au mzimu unaouita ,sema hivi we fulani weka jina lake mimi fulani nimekuja kukusalimia nimekuletea na chakula na vyakula na vinywaji unavyovipenda.
Pia nimekuletea na kinyaji chako pendwa kisha kimwage.
Kama alikuwa ni Babu,Bibi,Mama au Baba mwite kwa cheo chake mwambie shida zako zote kisha mwambie aingilie kati akusahidie maana wao wanauwezo mkubwa kushinda wewe uliyeduniani kama ni jambo ambalo ulitaka wakuonyeshe wakaribishe waje usingizini wakuonyeshe njia za kuyatatua au wakusahidie wao moja kwa moja.
Ukimaliza hapo washa mshumaa mwekundu na mweupe na udi. Ukimaliza wacha vile vitu pale na uondoke urudi kwako bila ya kuangalia nyuma wala kuongea na mtu njiani hivyo kama ulienda na bodaboda au watu wapange mapema kuwa ukirudi wasikusemeshe.
Ukifika nyumbani tandika shuka la jadi kama ni la kimasai au la kigogo chini na ulale ndani ya siku 3 lazima huo mzimu ukutokee na kukupa msahada. Kumbuka ndani ya siku 3 usifanye zinaa yeyote na husioge ili husipoteze ile nishati uliyotoka nayo kwenye tambiko.
Fanya hivyo ni uhakika kabisa.
By magical power
Upunguni wa hali ya juu sana. Hakuna ushirikiano kati ya wafu na walio hai. Mtu akifa amekufa, hayo majitu ni mapepo yenye sura ya binadamu.Tafuta vyakula alivyopenda kula na vinywaji alivyopendelea wakati wa uhai wake huyo marehemu.
Nenda makaburini tafuta nafasi nzuri ya kukaa hakikisha uko peke yako na huonekani na watu. Ksha mwaga kile chakula alichopenda marehem au mzimu unaouita ,sema hivi we fulani weka jina lake mimi fulani nimekuja kukusalimia nimekuletea na chakula na vyakula na vinywaji unavyovipenda.
Pia nimekuletea na kinyaji chako pendwa kisha kimwage.
Kama alikuwa ni Babu,Bibi,Mama au Baba mwite kwa cheo chake mwambie shida zako zote kisha mwambie aingilie kati akusahidie maana wao wanauwezo mkubwa kushinda wewe uliyeduniani kama ni jambo ambalo ulitaka wakuonyeshe wakaribishe waje usingizini wakuonyeshe njia za kuyatatua au wakusahidie wao moja kwa moja.
Ukimaliza hapo washa mshumaa mwekundu na mweupe na udi. Ukimaliza wacha vile vitu pale na uondoke urudi kwako bila ya kuangalia nyuma wala kuongea na mtu njiani hivyo kama ulienda na bodaboda au watu wapange mapema kuwa ukirudi wasikusemeshe.
Ukifika nyumbani tandika shuka la jadi kama ni la kimasai au la kigogo chini na ulale ndani ya siku 3 lazima huo mzimu ukutokee na kukupa msahada. Kumbuka ndani ya siku 3 usifanye zinaa yeyote na husioge ili husipoteze ile nishati uliyotoka nayo kwenye tambiko.
Fanya hivyo ni uhakika kabisa.
By magical power
A'buda Allahu kaanka tarahu failam yantan tarah fainahu yaraka.Washindwe kujisaidia wasife wakusaidie wewe baada ya kufa Upuuzi, Ina maana mababu wote kabla hawajafa hawana matatizo? Kila siku mjukuu wangu Nina shida nisaidie, alafu akifa yeye ndo anasaidia watu!!!!! Dah Dunia tamu sana, huo ni ushirikina na ni kazi ya mashetani, Kaa mbali Mwabudu Allah pekee yake.
Suhendra ni hiv إعبد الله كأنك تراه فإن لم تكن تراه فإنه يراك.A'buda Allahu kaanka tarahu failam yantan tarah fainahu yaraka.
ExactlySuhendra ni hiv إعبد الله كأنك تراه فإن لم تكن تراه فإنه يراك.
Pole sanaWewe ndo unaona bado endelea kuona hivyo
Wengi awajui Nini maana ya ushirikina ndio shida hilipo, ndio maana tukiwambiwa makanisani na misikitini pia ni washirikina wanakataaKongowe kwako 👏🏾👏🏾👏🏾
Yeah Imani ni tiba.Hauna baya ni Imani na ukiamini inafanya kazi vema