Kuongea na simu Bungeni ni kukosa Umakini

Kuongea na simu Bungeni ni kukosa Umakini

Hongera Spika Tulia Akson kwa kukemea jambo hili, mtu anaingia Bungeni anaanza kuongea na simu ni ushamba, pumbavu kabisa, wasichaguliwe Tena.
Wabunge wa ccm wana miradi chungu mzima nchi nzima pale bungeni wanaua ndege wawili kwa jiwe moja wanakula posho huku wakisimamimia miradi yao kwanjia ya simu ndio maana wanapiga kura za ndio kila kitu kwasababu wanawaza miradi yao
 
Wabunge wa ccm wana miradi chungu mzima nchi nzima pale bungeni wanaua ndege wawili kwa jiwe moja wanakula posho huku wakisimamimia miradi yao kwanjia ya simu ndio maana wanapiga kura za ndio kila kitu kitu kwasababu wanawaza miradi yao
2025,tuwanyime kura ili wasile .
 
2025,tuwanyime kura ili wasile .
ccm sidhani kama wanategemea kura ya mtu kuingia bungeni ndio maana wako busy na mambo yao wanajua njia za kupita kupata ubunge.ogopa chama rushwa sio tatizo kwenye chaguzi zao za ndani,ili jina lako lipite ni dau kubwa unategemea nini
 
Hatari kubwa!
 
Back
Top Bottom