Kuongea na simu Bungeni ni kukosa Umakini

Kifupi tu na ukweli uliowazi Bunge letu lilishapoteza maana na heshima yake...ni halali kila mtu kulidharau hta wabunge wenyewe wanalidharau....Huku mtaani na anajali au anazungumzia Bunge?
 
Huku mtaani kila mtu anajiwakilisha mwenyewe, hawa wabunge wa ccm wapo kimkati kupitisha sheria mbovu na kuuza nchi .
 
Tatizo ni kwamba wabunge inabidi wahudhuria vikao vyote, bunge lilitakiwa liendeshwe kikamati zaidi.
 
Back
Top Bottom