Kuongea na simu na mtu usiyempenda yataka moyo!

[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Sana yani unaweza kusema wanakaribia kuwa vichaaa hawana akili ya kujiongezaaa
 
Nimekutana nayo kwa mfipa mmoja hivi kuna makabila yana tabu jamani jitu unaliambia Mimi tayari occupied lakini bado tu limekomaa daah hapo akipiga napokea sim naiacha chumbani mwenyew natoka zangu nje spendagi ujinga mim
Wafipa kama waha tu[emoji23] [emoji23] atakupa story la ziwa Tanganyika.mpaka ukome
 
Ndo Yale mtu ndio anakutongoza hata kukubaliwa bado ataanza jisemesha oohh nikutumie nauli uje Mara unakula kiasi gani kwa mwezi anajisemesha vitu wala havimuhusu
Mwingine atakwambia nimeshakuweka kwenye bajeti yangu ya mshahara kuanzia mwezi huu[emoji23] dadeki sipendi kauli ya "unakula sh ngapi kwa mwezi"
Utazani amewahi kukuona unalia njaa
 
Mapenzi bhana mda huo wewe unakasirika kusumbuliwa na mtu usiyempenda mda huo huo na wewe unamsumbua asiyekupenda.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]yawezekana
 
KAMA KAFALLINLOVE MWENZAKO JE?? ALAF UNACHEZEA BAHATI, WENZAKO WANAZITAFUTA, MKUBALIE MWENZAKO JAMANI TUJE TULE ANGALAU WALI SIKU YA HARUSI, AKIJA KUJINYONGA KWA SABABU KAKATALIWA USIJE BAADAE UKAJILAUMU
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]sitaki kabisaaa kusikia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…