Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,627
- 38,689
[emoji23] [emoji23]Hana bundle [emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23]Hana bundle [emoji23][emoji23]
Niliambiwa nibebe ingine nkaleta jeuriWenzako siku hizi wanatembea na jezi mbili mbili.Na utakoma
Haswaaa[emoji108] [emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]uwe unawasha tv unapokea unaiweka hapoooo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ila weweHata kwenye huu uzi ukichunguza utamuona mmoja
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Usiombe kupigiwa simu na muha pure from kigoma,akupende umkatae hehehee!!
Kila siku atajiunga cheka zogo ya 5000 kwa ajili ya kukupigisha story ya ziwa Tanganyika na jinsi hali ya hewa ilivyo kasulu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]kupe anayeganda ng'ombeeee looooh wajua kunichekesha weyeeeee
Yani umeongea kitu kilichonikuta nilijuta[emoji23] [emoji23]Yani tena yeye anajua akishakutongoza ndo tayari amemaliza kazi na mke wangu utaitwa hawajui kama kuna kukubaliwa ndo mahusiano yaanze cjui wakoje
Mi utaona tu machozi yanamwagika [emoji23][emoji23][emoji23]Mimi huwa nanuna sjui nilie kama nipo na rafiki yangu Apple alafu uwe mtongozo wa kisukuma naweka loud tutachekaaa mpaka nusu kujikojoleaaaaa
Yeahh sisi wanaume tunatumia busara mara nyingi.Kwa sisi wanaume ...huwa tunafanya tofauti...mi binafsi kama kuna manzi amenizimikia na ameonesha dalili zote za kunipenda...huwa si mzingui...huwa namtengenezea mazingira ya Ku mcare asijisikie vibaya...at the end anakuwa tuu rafiki wa kawaida na maisha yanaenda.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna jamaa alishanipigia usiku mkubwa sana hadi nikahisi kunaweza kuwa na tatizo kubwa that's why kapiga midnight.
Sasa wakati napokea simu..jamaa ananiambia "leta swagga mwana" kwa lafudhi ya kimakonde...Daah! Nikawaza huyu jamaa kanipigia this late night then anasema leta swaga tena? Nikamvumilia then nikamuuliza unasemaje? Akasema cheka yake ilitakq kuisha hivyo akaamua anipigie ili aimalizie!?
Nilikuwa namheshimu but nikavurumusha tusi then nikazima simu nikachapa mate hadi asubuhi.
Kuna watu wanakera sana.
Leta swagga!? Ahahaha![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Bora hata ningekua nae. 180° mieChuraaa aoneeee[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Nakwambia kuna vitu vinakera,mwingine tena(ndugu yangu)ananipigia hana story kazi yake kuulizia wanyamwezi wanavyokaa barazani na waha wanavyoendesha daladala baskeli[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]tabia mbaya ujue unachuma dhambi
Kwan hujamuona?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ila wewe
Nilivyo na dharau na kiburi japo masikini,nitamjbu tu sina hata shida na bajeti zakoNapatwaga hasira basi tu na ela nazipenda akishatanguliza hilo mfipa hiwa hatoki salama ataliwa,,na hamna atakachopata