Kuongea na simu na mtu usiyempenda yataka moyo!

Kuongea na simu na mtu usiyempenda yataka moyo!

Usiombe kupigiwa simu na muha pure from kigoma,akupende umkatae hehehee!!
Kila siku atajiunga cheka zogo ya 5000 kwa ajili ya kukupigisha story ya ziwa Tanganyika na jinsi hali ya hewa ilivyo kasulu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mimi huwa nanuna sjui nilie kama nipo na rafiki yangu Apple alafu uwe mtongozo wa kisukuma naweka loud tutachekaaa mpaka nusu kujikojoleaaaaa
Mi utaona tu machozi yanamwagika [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwa sisi wanaume ...huwa tunafanya tofauti...mi binafsi kama kuna manzi amenizimikia na ameonesha dalili zote za kunipenda...huwa si mzingui...huwa namtengenezea mazingira ya Ku mcare asijisikie vibaya...at the end anakuwa tuu rafiki wa kawaida na maisha yanaenda.
Yeahh sisi wanaume tunatumia busara mara nyingi.
 
Kuna jamaa alishanipigia usiku mkubwa sana hadi nikahisi kunaweza kuwa na tatizo kubwa that's why kapiga midnight.

Sasa wakati napokea simu..jamaa ananiambia "leta swagga mwana" kwa lafudhi ya kimakonde...Daah! Nikawaza huyu jamaa kanipigia this late night then anasema leta swaga tena? Nikamvumilia then nikamuuliza unasemaje? Akasema cheka yake ilitakq kuisha hivyo akaamua anipigie ili aimalizie!?

Nilikuwa namheshimu but nikavurumusha tusi then nikazima simu nikachapa mate hadi asubuhi.

Kuna watu wanakera sana.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sasa ukitaka kujua utamu wa maisha ni pale ambapo unaye mpenda wewe naye anajisikia Hivi Hivi ukimpigia [emoji23]. Malipo hapa hapa duniani
Dunia haina usawaaaa[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]tabia mbaya ujue unachuma dhambi
Nakwambia kuna vitu vinakera,mwingine tena(ndugu yangu)ananipigia hana story kazi yake kuulizia wanyamwezi wanavyokaa barazani na waha wanavyoendesha daladala baskeli
 
Back
Top Bottom