Kuongea na simu na mtu usiyempenda yataka moyo!

Kuongea na simu na mtu usiyempenda yataka moyo!

wengine wanakupigia lengo wakuulize jina lako la m-pesa watume mapene,

we unakalia tu oooh siwapendi anayekupenda wewe nani?
 
Hahaha ukipata mnyakyusa anaependwa na mama yake wa Tukuyu utanenepa kwa kuagiziwa maparachichi na ndizi fresh from shamba,utaagiziwa mchele madebe mawili supa wa kyela na magunia matatu ya mpunga[emoji23] [emoji23]
Bila kusahau viaziiii[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Mnyakusa mwanajeshi au anayeendesha roli weeeee utanenepa balaaaa
 
Back
Top Bottom