Kuongea na simu na mtu usiyempenda yataka moyo!

Kuongea na simu na mtu usiyempenda yataka moyo!

Kuna jamaa alishanipigia usiku mkubwa sana hadi nikahisi kunaweza kuwa na tatizo kubwa that's why kapiga midnight.

Sasa wakati napokea simu..jamaa ananiambia "leta swagga mwana" kwa lafudhi ya kimakonde...Daah! Nikawaza huyu jamaa kanipigia this late night then anasema leta swaga tena? Nikamvumilia then nikamuuliza unasemaje? Akasema cheka yake ilitakq kuisha hivyo akaamua anipigie ili aimalizie!?

Nilikuwa namheshimu but nikavurumusha tusi then nikazima simu nikachapa mate hadi asubuhi.

Kuna watu wanakera sana.
 
Dar mbali kote uko[emoji23] anakwambia safari yake ya kwanza kufika Tabora na jinsi alivyoweza kumiliki duka la vitu vya nyumbani mtaa wa Kanyenye
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Nikishaona hio text nakuandalia kabisa aisee, ukijibu tu naomba Nitumie..... Nishatuma kisha sababu zinafuata
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]poyeeeeee
 
KAMA KAFALLINLOVE MWENZAKO JE?? ALAF UNACHEZEA BAHATI, WENZAKO WANAZITAFUTA, MKUBALIE MWENZAKO JAMANI TUJE TULE ANGALAU WALI SIKU YA HARUSI, AKIJA KUJINYONGA KWA SABABU KAKATALIWA USIJE BAADAE UKAJILAUMU
 
Back
Top Bottom