Jolie Jolie
JF-Expert Member
- Dec 28, 2017
- 7,406
- 13,806
Eti mi hata nnaemdai akiniahidi kunipa badae simpigii wala simkumbushi,ila mwenyewe tu atasikia aibu.Maskini jeuri mimi[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]usiombeee demu akuombe hela umpe ahadi nitakutumia jioni
Huwa wanawasumbua sana eeeeh kuwapigia simu mpaka unachukia [emoji3][emoji3][emoji3]
Hata mm Demiss huwa nina katabia ukinipa ahadi lazima nikupigie simu