Kuongea na simu na mtu usiyempenda yataka moyo!

Kuongea na simu na mtu usiyempenda yataka moyo!

[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]usiombeee demu akuombe hela umpe ahadi nitakutumia jioni

Huwa wanawasumbua sana eeeeh kuwapigia simu mpaka unachukia [emoji3][emoji3][emoji3]
Hata mm Demiss huwa nina katabia ukinipa ahadi lazima nikupigie simu
Eti mi hata nnaemdai akiniahidi kunipa badae simpigii wala simkumbushi,ila mwenyewe tu atasikia aibu.Maskini jeuri mimi
 
Kusema kweli mimi wengi wanaona ninadharau,huwa sipokei simu ambazo najua fika ni usumbufu tu.

Na nadhani mnajijua kuna some girls ukiona simu zao tu,jua mzinga[emoji2]
Hata mimi huwa naonekana jeuri kuna simunikipigwa unajua kabisa huu ni mzinga
 
Unasema spika mbovu mm huwa naweka mpaka kwenye bumundaaaa simu nasema nusaaaa nusaaaaa hukooo alafu naitika kwa sautii eeeeeeeh sikusikiiii huku kimoyo moyo nasema nusaaa huko
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kwenye bumunda tena haha nimecheka sana
 
Back
Top Bottom