Jolie Jolie
JF-Expert Member
- Dec 28, 2017
- 7,406
- 13,806
Bado hajakusimulia kuwa kwao wanapikaga ugali usiooza mwezi mzimaNa safar za treniii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bado hajakusimulia kuwa kwao wanapikaga ugali usiooza mwezi mzimaNa safar za treniii
Mmmh![emoji20][emoji20][emoji20]Hujatumiwa pm uje pm nikutumieeeee
Mke wa mtu mimiJolie Jolie
Wanyakyusa wanajua kununa,aki wanavimba kama yale maparachichi yaoUlijuajeee aiseeee kweli kabisaaa wanapenda kususaa balaaa
Bby si umezoea tu vimacho vyangu?Khaaaah
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Dar mbali kote uko[emoji23] anakwambia safari yake ya kwanza kufika Tabora na jinsi alivyoweza kumiliki duka la vitu vya nyumbani mtaa wa Kanyenye
Nakupenda hivo hivoMke wa mtu mimi
Ngoja nitafute style nyingine yaku deal na nyie viumbeNdo hivyo ulikuwa hujui
Ndo mana tunajiunga chips bando na sms bila kikomo[emoji23]Sasa si mpka huyu baba amalize mda wake ndio hali itatengamaa...ni mwendo wa uni tu [emoji23]