Shauri yakeNgoja mme wake ajeeee
naonaa shemUmeonaaa eeeh mtu kama huyu anatia hasiraaa mm huwa nataman kuwazaba vibao vya kihindi
Babu weee na inipite tuu ila siunyimi raha moyo wangu [emoji23][emoji23][emoji23]UNAJIKOSESHA BAHATI WW
HahahahahaTatizo nyie wadada wa Dar, mnatudharau sana sie wanaume wa mikoani
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Bila kusahau karangaaaaa yani unasema tu hizi dhambi jaman unawaza jinsi ya kumkataaaaa
Tafuta hata tisheti dukani uvae tuNiliambiwa nibebe ingine nkaleta jeuri
Nini waguna?Mmhu!
Watu wa Arusha haoLeta swagga!? Ahahaha!
Pokea yangu hata kwa sekunde tu inatosha kusikia hallowHuyu wa kwangu ni balaaa sijajibu sms zake sasa ni mwaka ila kila siku anapiga anatuma sms hakati tamaaa
Bila kusahau viaziiii[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Mnyakusa mwanajeshi au anayeendesha roli weeeee utanenepa balaaaaHahaha ukipata mnyakyusa anaependwa na mama yake wa Tukuyu utanenepa kwa kuagiziwa maparachichi na ndizi fresh from shamba,utaagiziwa mchele madebe mawili supa wa kyela na magunia matatu ya mpunga[emoji23] [emoji23]