Kuongea na simu na mtu usiyempenda yataka moyo!

Nakwambia kuna vitu vinakera,mwingine tena(ndugu yangu)ananipigia hana story kazi yake kuulizia wanyamwezi wanavyokaa barazani na waha wanavyoendesha daladala baskeli
Zile zinaitwa gana gana sku ya kwanza nilipanda nikiwa nzega [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…