Muzine
JF-Expert Member
- May 4, 2017
- 32,366
- 60,453
- Thread starter
- #301
Zile zinaitwa gana gana sku ya kwanza nilipanda nikiwa nzega [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Nakwambia kuna vitu vinakera,mwingine tena(ndugu yangu)ananipigia hana story kazi yake kuulizia wanyamwezi wanavyokaa barazani na waha wanavyoendesha daladala baskeli