Chukua ya demis atanipokelea mizigo yanguenhee!!! safi hapo sasa najua tutapeana number ili nikupigie ukereke 🙄😀
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Ila kiukweli wanawake hamjambo kufukua makaburi....... dawa ni kutokumkwaza siku akitemwa alikokuwa atakushtua tu kupunguza machungu
Kama sijapata basi usumbufu utaisha mmoja wetu akiwa kabuliniTunavumilia tu
Demiss atapeleka Kilimanjaro shoo!Chukua ya demis atanipokelea mizigo yangu
Tafadhali, ohooo ohooo dada...😉[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]wasukuma sasa utasikia
Unajuaaa Demiss mimi nakupendaga sana unanifanyaga mapigo ya moyo wangu yadundeee sana
Kwa nini umechukua nafasi ya kaka angu joseBe the 1st
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Usiombe kupigiwa simu na muha pure from kigoma,akupende umkatae hehehee!!
Kila siku atajiunga cheka zogo ya 5000 kwa ajili ya kukupigisha story ya ziwa Tanganyika na jinsi hali ya hewa ilivyo kasulu
Akikujibu uniite[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] yamekukuta?
Mh[emoji23] [emoji23] [emoji23] yamemkuta shoga angu....muha anajiunga cheka zogo kwa ajili ya kupiga story za kigoma na vitongoji vyake.Shost akipokea simu anaongea kidogo afu anaanza kuzungusha mkono alioshika simu(nadhani unajua ile style ya kuzungusha mkono kama unataka kurusha jiwe,yes!)basi akizungusha vile mpigaji simu lazima usikie kama upepo,af ye anaongea uku bado anazungusha mkono kwamba "niko kwenye boda boda ntakupigiaaaaa" anakata kisha anamaliza na tusi zito lenye vitamini
AlijibuAkikujibu uniite
[emoji23] [emoji23] ndio umeamkaa?Kwa nini umechukua nafasi ya kaka angu jose