Kuongea na simu na mtu usiyempenda yataka moyo!

eee baba wa mbinguni wanaume tuna kazi.kumbe ndo mnavyotufanyiaga ivyo.Hapo unakuta jamaa wa watu anakazana akijua iko siku utalegea kumbe unamsanifu tu.kazi tunayo.
 
Dah ningepata demu kavu hivi ingependeza, mie mpenzi wangu mpaka sometym nakataga makofi yani. Ana ukarimu wa kijinga sana huwa hawezi jibu shit wala kumkatia mtu simu mbaya zaidi akiombwa namba anatoaga tu sijui kalogwa.
 
halafu wanaume wakiafrica ndio wabishi,huwa wanaamini ipo siku atakubaliwa
 
Yani huwa nakereka kuongea na simu na mtu nisiyempenda unajua kwa sababu nimeshamweleza kila kitu lakini bado anazidi kuganda kama ruba huyu lazima nimfanyie unyamaaa unyamani tu.

Unakuta mwanaume amekutongoza umemkataaa anaendelea kukusumbua hawa ndo wanakera zaidi na story zao za porojo blah blah kibao huwa napata moto mimi Demiss hasira mpaka kwenye koo.

Yani watu kama hawa simu 24 hours sms kibao whastap alafu wanapenda video call yani huwa napata motooo mimi nachukia.

Yani nikiona tu simu inaitaaa haki nitasonyaaaaa sonyooo la haja alafu nabonyeza kidude cha kupunguzia sauti ili nisisikie kelele za kuita simu.

Nikiona unapiga sana napokea simu huku nimekunja mdomoo karibia unafika sikioni [emoji10] [emoji10] [emoji10] sipendi kero hasa mtu nisiyempenda.

Nikipokea simu yako lazima niweke kwenye kwapa ili uongeee naloo sipendag kerooo kabisaa au najifanya halllo halllo kama sisikii au network inasumbua.
Nikikata simu nakusindikiza na neno la hajaaaaaa.

Jamani kuna wanaume wanasumbua kwenye simu mpaka unataman kumpa makondeee yani haelewi huwa wananipa moto mimi.

Mrs Jr.
Dah tusiopendwa tuna balaa sana,,,ila sikomi licha ya mateso hayo kama domo platinumz. Ni mwendo wa ring riiiing tu mida ya ala za roho!
 
Dah ningepata demu kavu hivi ingependeza, mie mpenzi wangu mpaka sometym nakataga makofi yani. Ana ukarimu wa kijinga sana huwa hawezi jibu shit wala kumkatia mtu simu mbaya zaidi akiombwa namba anatoaga tu sijui kalogwa.
Akitoa namba anawakubalia?
 
Pole mkanye asije kuitwa mama huruma
Nimeshamkanya mpaka kupiga nimechoka nadhani tabia ni ngozi, meanwhile nshapata mama ingine kali zaidi nimeiweka sawa tayari.

Naendelea na manzi wangu kwa penzi la kinafiki tu maana ndio mtindo anaotaka ila siku akija kugundua nina kitu kando anakula kadi nyekundu fashta ili aende huko anakogawa namba ovyo.
 
Yani huwa nakereka kuongea na simu na mtu nisiyempenda unajua kwa sababu nimeshamweleza kila kitu lakini bado anazidi kuganda kama ruba huyu lazima nimfanyie unyamaaa unyamani tu.

Unakuta mwanaume amekutongoza umemkataaa anaendelea kukusumbua hawa ndo wanakera zaidi na story zao za porojo blah blah kibao huwa napata moto mimi Demiss hasira mpaka kwenye koo.

Yani watu kama hawa simu 24 hours sms kibao whastap alafu wanapenda video call yani huwa napata motooo mimi nachukia.

Yani nikiona tu simu inaitaaa haki nitasonyaaaaa sonyooo la haja alafu nabonyeza kidude cha kupunguzia sauti ili nisisikie kelele za kuita simu.

Nikiona unapiga sana napokea simu huku nimekunja mdomoo karibia unafika sikioni [emoji10] [emoji10] [emoji10] sipendi kero hasa mtu nisiyempenda.

Nikipokea simu yako lazima niweke kwenye kwapa ili uongeee naloo sipendag kerooo kabisaa au najifanya halllo halllo kama sisikii au network inasumbua.
Nikikata simu nakusindikiza na neno la hajaaaaaa.

Jamani kuna wanaume wanasumbua kwenye simu mpaka unataman kumpa makondeee yani haelewi huwa wananipa moto mimi.

Mrs Jr.
We una tatizo la AKILI
 
eee baba wa mbinguni wanaume tuna kazi.kumbe ndo mnavyotufanyiaga ivyo.Hapo unakuta jamaa wa watu anakazana akijua iko siku utalegea kumbe unamsanifu tu.kazi tunayo.
Sanaaaa
 
Nimeshamkanya mpaka kupiga nimechoka nadhani tabia ni ngozi, meanwhile nshapata mama ingine kali zaidi nimeiweka sawa tayari.

Naendelea na manzi wangu kwa penzi la kinafiki tu maana ndio mtindo anaotaka ila siku akija kugundua nina kitu kando anakula kadi nyekundu fashta ili aende huko anakogawa namba ovyo.
Nimejikuta namuonea huruma
 
Back
Top Bottom