Jolie Jolie
JF-Expert Member
- Dec 28, 2017
- 7,406
- 13,806
MwanzaKwenda wapi tena?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MwanzaKwenda wapi tena?
Atakua ndo amemfanya mshikaji chanzo cha mapato cos anajua anampenda sana,hawezi goma kutuma mpesaJe muamala wa Mpesa wa mtu usiyempenda?
Sms ya 200K imethibitishwa zinakukera pia?
Nmejitahidi kwa kadiri ya uwezo wangu nmeshindwa. Mwanamke kila ukisafiri unakuta kasharuhusu affair na mtu mwengine, unaingilia kati sometime nawachimba biti wahuni! Ndio mawasiliano yanakata, ukimwachia mwenyewe astopishe kupokea simu ndio kwanza anawabeep kabisa!Duh wanaume rekebisheni wapenzi wenu,ujue hakuna aliekamilika eti,sasa ukimuacha huyo kwa hilo ukaenda kukutana na bomu la nyuklia utaacha wangapi
Sawa Tumekuelewa Mrs JrYani huwa nakereka kuongea na simu na mtu nisiyempenda unajua kwa sababu nimeshamweleza kila kitu lakini bado anazidi kuganda kama ruba huyu lazima nimfanyie unyamaaa unyamani tu.
Unakuta mwanaume amekutongoza umemkataaa anaendelea kukusumbua hawa ndo wanakera zaidi na story zao za porojo blah blah kibao huwa napata moto mimi Demiss hasira mpaka kwenye koo.
Yani watu kama hawa simu 24 hours sms kibao whastap alafu wanapenda video call yani huwa napata motooo mimi nachukia.
Yani nikiona tu simu inaitaaa haki nitasonyaaaaa sonyooo la haja alafu nabonyeza kidude cha kupunguzia sauti ili nisisikie kelele za kuita simu.
Nikiona unapiga sana napokea simu huku nimekunja mdomoo karibia unafika sikioni [emoji10] [emoji10] [emoji10] sipendi kero hasa mtu nisiyempenda.
Nikipokea simu yako lazima niweke kwenye kwapa ili uongeee naloo sipendag kerooo kabisaa au najifanya halllo halllo kama sisikii au network inasumbua.
Nikikata simu nakusindikiza na neno la hajaaaaaa.
Jamani kuna wanaume wanasumbua kwenye simu mpaka unataman kumpa makondeee yani haelewi huwa wananipa moto mimi.
Mrs Jr.
Naamin maneno yko, imewah nitokekea km mala2Sanaaaa
Shem umeanza kuwa muongo inamaana mlikuwa mnafanyana kwenye gari?Kitandani tunapeana mautaamuuuu alafu ukawa unatukatisha uhondooo
Hahaha siku ukipata ban usishangaeMi mbona ndo mwalimu aiseee wanisamehe siwezi kukomalia mada lazima nichati chat na vingine
Shemeji gani tenaYan shemej kapungua sana kwenye team ya chitchat
Nimeacha kuanzia janaHahaha siku ukipata ban usishangae
Yan shemej kapungua sana kwenye team ya chitchat
Davet au hazard?Shemeji gani tena
Unaachaje kwa mfano ajari kazini bana ikitokea imetokeaNimeacha kuanzia jana
Sijajua ni naniDavet au hazard?