Wanafuta comments na ban mnapewaKwann wasifute tu comment kuna watu ukiwapa ban lazima jf ipoeeeeee
Mi mbona ndo mwalimu aiseee wanisamehe siwezi kukomalia mada lazima nichati chat na vingineKuchat na wengine mambo za tofauti mods wakivurugwa wanatoa sana hizo ban kuvuruga mada ya watu
Naunga mkono hojaKwann wasifute tu comment kuna watu ukiwapa ban lazima jf ipoeeeeee
[emoji23] [emoji23] mfundishe ukaksiDah ningepata demu kavu hivi ingependeza, mie mpenzi wangu mpaka sometym nakataga makofi yani. Ana ukarimu wa kijinga sana huwa hawezi jibu shit wala kumkatia mtu simu mbaya zaidi akiombwa namba anatoaga tu sijui kalogwa.
Dah tusiopendwa tuna balaa sana,,,ila sikomi licha ya mateso hayo kama domo platinumz. Ni mwendo wa ring riiiing tu mida ya ala za roho!Yani huwa nakereka kuongea na simu na mtu nisiyempenda unajua kwa sababu nimeshamweleza kila kitu lakini bado anazidi kuganda kama ruba huyu lazima nimfanyie unyamaaa unyamani tu.
Unakuta mwanaume amekutongoza umemkataaa anaendelea kukusumbua hawa ndo wanakera zaidi na story zao za porojo blah blah kibao huwa napata moto mimi Demiss hasira mpaka kwenye koo.
Yani watu kama hawa simu 24 hours sms kibao whastap alafu wanapenda video call yani huwa napata motooo mimi nachukia.
Yani nikiona tu simu inaitaaa haki nitasonyaaaaa sonyooo la haja alafu nabonyeza kidude cha kupunguzia sauti ili nisisikie kelele za kuita simu.
Nikiona unapiga sana napokea simu huku nimekunja mdomoo karibia unafika sikioni [emoji10] [emoji10] [emoji10] sipendi kero hasa mtu nisiyempenda.
Nikipokea simu yako lazima niweke kwenye kwapa ili uongeee naloo sipendag kerooo kabisaa au najifanya halllo halllo kama sisikii au network inasumbua.
Nikikata simu nakusindikiza na neno la hajaaaaaa.
Jamani kuna wanaume wanasumbua kwenye simu mpaka unataman kumpa makondeee yani haelewi huwa wananipa moto mimi.
Mrs Jr.
Aloh kama kungekuwa na dawa ningemnywesha, wivu unaniteketeza taratibu[emoji23] [emoji23] mfundishe ukaksi
Akitoa namba anawakubalia?Dah ningepata demu kavu hivi ingependeza, mie mpenzi wangu mpaka sometym nakataga makofi yani. Ana ukarimu wa kijinga sana huwa hawezi jibu shit wala kumkatia mtu simu mbaya zaidi akiombwa namba anatoaga tu sijui kalogwa.
Pole mkanye asije kuitwa mama hurumaAloh kama kungekuwa na dawa ningemnywesha, wivu unaniteketeza taratibu
Sijawahi ona akiwakubalia ila swala la kuwa entertain tu ni kero kwanguAkitoa namba anawakubalia?
Nimeshamkanya mpaka kupiga nimechoka nadhani tabia ni ngozi, meanwhile nshapata mama ingine kali zaidi nimeiweka sawa tayari.Pole mkanye asije kuitwa mama huruma
We una tatizo la AKILIYani huwa nakereka kuongea na simu na mtu nisiyempenda unajua kwa sababu nimeshamweleza kila kitu lakini bado anazidi kuganda kama ruba huyu lazima nimfanyie unyamaaa unyamani tu.
Unakuta mwanaume amekutongoza umemkataaa anaendelea kukusumbua hawa ndo wanakera zaidi na story zao za porojo blah blah kibao huwa napata moto mimi Demiss hasira mpaka kwenye koo.
Yani watu kama hawa simu 24 hours sms kibao whastap alafu wanapenda video call yani huwa napata motooo mimi nachukia.
Yani nikiona tu simu inaitaaa haki nitasonyaaaaa sonyooo la haja alafu nabonyeza kidude cha kupunguzia sauti ili nisisikie kelele za kuita simu.
Nikiona unapiga sana napokea simu huku nimekunja mdomoo karibia unafika sikioni [emoji10] [emoji10] [emoji10] sipendi kero hasa mtu nisiyempenda.
Nikipokea simu yako lazima niweke kwenye kwapa ili uongeee naloo sipendag kerooo kabisaa au najifanya halllo halllo kama sisikii au network inasumbua.
Nikikata simu nakusindikiza na neno la hajaaaaaa.
Jamani kuna wanaume wanasumbua kwenye simu mpaka unataman kumpa makondeee yani haelewi huwa wananipa moto mimi.
Mrs Jr.
AaaaahJe muamala wa Mpesa wa mtu usiyempenda?
Sms ya 200K imethibitishwa zinakukera pia?
AaaaaPokea weka sikion akiongea we jifanye husikii vizuri. AKIENDELEA KUKUSUMBUA NIAMBIE NIKUPE MBINU MBADALA ili akome na roho yake
Nimejikuta namuonea hurumaNimeshamkanya mpaka kupiga nimechoka nadhani tabia ni ngozi, meanwhile nshapata mama ingine kali zaidi nimeiweka sawa tayari.
Naendelea na manzi wangu kwa penzi la kinafiki tu maana ndio mtindo anaotaka ila siku akija kugundua nina kitu kando anakula kadi nyekundu fashta ili aende huko anakogawa namba ovyo.