Kuongea na simu na mtu usiyempenda yataka moyo!

Duh wanaume rekebisheni wapenzi wenu,ujue hakuna aliekamilika eti,sasa ukimuacha huyo kwa hilo ukaenda kukutana na bomu la nyuklia utaacha wangapi
Nmejitahidi kwa kadiri ya uwezo wangu nmeshindwa. Mwanamke kila ukisafiri unakuta kasharuhusu affair na mtu mwengine, unaingilia kati sometime nawachimba biti wahuni! Ndio mawasiliano yanakata, ukimwachia mwenyewe astopishe kupokea simu ndio kwanza anawabeep kabisa!
 
Sawa Tumekuelewa Mrs Jr
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…