Jolie Jolie
JF-Expert Member
- Dec 28, 2017
- 7,406
- 13,806
Nafasi ya jose hiiBe the 1st
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nafasi ya jose hiiBe the 1st
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]mimi huwa nawasha redio naweka sehemu ambayo haishiki vizur ili asikie makelel au naanza kukwaruza vyombo mbengele mbengeleee sipendi kero[emoji23] [emoji23] [emoji23] yamemkuta shoga angu....muha anajiunga cheka zogo kwa ajili ya kupiga story za kigoma na vitongoji vyake.Shost akipokea simu anaongea kidogo afu anaanza kuzungusha mkono alioshika simu(nadhani unajua ile style ya kuzungusha mkono kama unataka kurusha jiwe,yes!)basi akizungusha vile mpigaji simu lazima usikie kama upepo,af ye anaongea uku bado anazungusha mkono kwamba "niko kwenye boda boda ntakupigiaaaaa" anakata kisha anamaliza na tusi zito lenye vitamini
Unatumia voda?kumbe vifurushi vya cheka bado vipo??? duuk kitambo sana kabla hata sijaanza kutumia simu
Anhaa kumbe hapa tatizo ni tekiniki za kukwepa si eti bby?Hizoo nishazipokea sana,,,huwa napokea halafu namwambia ntakutafuta inakua ndio imetoka hyo
NdiyoHahahaaa. au wewe ndiye yule unaenisumbuaga kunipigia simu usiku wa manane nini?
Nimeiwahi..yule simba imemlaza mapemaNafasi ya jose hii
Inaonekana umeanza kutumia simu 2015kumbe vifurushi vya cheka bado vipo??? duuk kitambo sana kabla hata sijaanza kutumia simu
Tupo pamoja hata mm ni simba Sasa fanya mpango uje pm BasMimi simbaaa chura akafie mbeleeeee huko
Pigaa uone kama sipokeiLeo wana chura hawapokei simu wanasonyaaaa tu
Duh huyo wa kumripoti TCRAAnapiga kila saa mpaka simu inaisha chaji